Ngoma za mashetani

Fatilia utaona, mashoga watajaa na ndio watakua wachezaji me kwa huyu mama nimeona na s kwa huyu tu wengi sana husema hivo hizo ngoma na mashoga huenda hivi
Mashoga unamaanisha mabinti ma-shost au wale waliothirika na ushoga?

Maana umetumia tungo tata
 
Zumari sipendi zinavyolia ndio hizo meziita nai kumbe ni zumar hili jina goi ndio hutumika sana kumbe na wewe wa huku
Kuna kijiji kimoja kinaitwa Kigombe njia ya kuelekea pangani, kitongoji kinaitwa sinawe - kila mwaka.

Kuhusu ukiwa na shetani kichwani ukipita karibu au ukiwa maeneo ya karibu unajiunga kusheherekea, kama kichwa kigumu utamkuta hapandishi lkn anaziimba nyimbo zote zinazochezwa kwa kuitikia mwanzo mwisho na kutikisa kichwa kwa mbali.

Pongwe pia goi linafanyika kila mwaka.
Raha ya goi ujue ku..
madam s
 
True!
Hata Israel ni New Year this month, hivyo wanaweka sweet food ili miaka iwe na baraka!
 
Usiseme ngoma za mashetani heshimu mila za watu, wewe ushamezwa mila za kizungu unaziona hizo ni ushetani
 
Nadhani hizo ngoma huwa wanapiga nakucheza.

matusi au lugha chafu hakuna jamii ya kitanzania inaziunga mkono.

hivi vitu Elimu, dini na mila za asili Hivi vitu vimeachana sana. Haviingiliani kila kimoja kinajitegemea kwa namna yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…