Ngoma ya Shetta **Namjua**

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
11,176
17,351
Hii ngoma kiukwel ni hatar mno na kideo chake ni balaaa tupu.....Big Up Baba Qaillah!....Naona Jamaa katumia mkwanja mrefu sana kuandaa video ya wimbo huu ila ninachojiuliza hii kaz itamlipa vip hizo gharama alizotumia?
 
ipo wapi?
 
Unauliza gharama?Jiulize kwanza anapiga mishe gani hadi kufanya kideo cha gharama hivyo?
Ukishapata majibu hutohoji tena.
Tia tia nyama bas Nifah kwenye habar yako......inaonekana kuna vitu unavijua.
 
Unauliza gharama?Jiulize kwanza anapiga mishe gani hadi kufanya kideo cha gharama hivyo?
Ukishapata majibu hutohoji tena.

Eti yeye ni dalali wa magari used, ila ni rafiki yake sana Rashid Jabu (jina la passport: Rumishael Shoo) na Nassoro Mangunga aliyekuwa rafiki yake saaaana Chid Benz na boy friend wa Masogange.

Ova
 
Mmmnh! Jamaa hajachoka kiivyo, ana hotel na anamiliki kigazeti fulani cha wiki.
Haingizi hela kivile kwa sasa, ila hajachoka kama inavyosema. Aliyechoka ni Ustaadh Juma Namusoma.

Ova

Huyo huyo juma na musoma hebu wekeni picha yake,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom