[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Japo sijaisikiliza ni MBAYAAAAAAAAAA!
Cku iz bongo kila mtu ni sound engineerHuo wimbo sijausikiliza bado. Ila sio mzuri. Beat na audio haviendani . nahic hiyo ngoma ilitengenezewa getoni kwa ne-yo.
Basi watu tunatofautiana sana...Hawa jamaa wakiambiwa ukweli wanakuona hater. Ila ukweli utabaki palepale huu wimbo ni mbaya.
Basi watu tunatofautiana sana...Sijawahi kuponda nyimbo za diamond ila kwa wimbo huu hapana kabisaaaa.... Nyimbo mbayaaaaa utasema kaimba underground!!!! Bora agairi kuurelease tuuu maana ni aibu
Nashangaa wanaosema hii ngoma mbovu kwl tunatofautiana mm naona ngoma Kali sana......huu utimu umetufunga sana na ukiangalia wanaoupinga huu wimbo wengi na mashabiki wa king anaeish kwa mama akeTeam zenu za kijinga sana, wivu hata vingine vinavyoshinda wivu, kwa ujumla diamond amefanya ngoma kali sana ijapokuwa inaonyesha km sio official kama imeungwa ungwa hivi..
Nyimbo inajirusha rusha kama bisi jikoniNashangaa wanaosema hii ngoma mbovu kwl tunatofautiana mm naona ngoma Kali sana......huu utimu umetufunga sana na ukiangalia wanaoupinga huu wimbo wengi na mashabiki wa king anaeish kwa mama ake
WIMBO HAUNA QUALITY KABISAA SIJUI STUDIO GANI ALIYOFANYIA HII NGOMANyimbo nzuri ila aliyeivujisha kamshusha sana diamond quality yake haina tofauti na mnanda
Ndo maana inaitwa leak wimbo huu haujakamilika kwny mixing kabisaWIMBO HAUNA QUALITY KABISAA SIJUI STUDIO GANI ALIYOFANYIA HII NGOMA
Ila haujauzidi ubaya wimbo wa ali kiba na abdu kiba kedekede cjui kebekebe unatoka tarehe 29 yaan wimbo n mbaya balaaJapo sijaisikiliza ni MBAYAAAAAAAAAA!
Na nilicomment hivi makusudi nione utasemaje...target ilikuwa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
No comment aisee.. Ila jitahidi uisikilize ni tamu balaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha sana mkuu.Huo wimbo sijausikiliza bado. Ila sio mzuri. Beat na audio haviendani . nahic hiyo ngoma ilitengenezewa getoni kwa ne-yo.