Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 429
Nani kasema tokea juzi anausikiliza? Elewa kwanza wack wewe..."tokea juzi nimeusikiliza".Iyo ni demo cyo official afu tokea juzi unausikiliza basi kama ingekuwa mbovu ungesikiliza Mara moja ukatupa kule
Ha ha ha...hutaki beat za shedy clever?Nyimbo chafu mmenisababisha nimpigie producer Daz Knowledge anitengenezee beat moja matata Campos atanifanyia video.
Ww endelea kula ugali wa nyumbani huna jingne maana uropokwa utafikiri umekunywa Maji ya chooniNani kasema tokea juzi anausikiliza? Elewa kwanza wack wewe..."tokea juzi nimeusikiliza".
Afu una maana gani kusema ni demo? Kwamba bado unatengenezwa, bado wanatunga mashairi au bado wanabadilisha melody? Maana melody, mashairi na beat vyote vibovu..nawashauri waandike upya kabisa, yaani watoe nyimbo tofauti kabisa na hii
Ha ha ha, wack...tatizo lako unakuaga mjuaji wakati you know nothing.Ww endelea kula ugali wa nyumbani huna jingne maana uropokwa utafikiri umekunywa Maji ya chooni
... Daz knowledge... Campos...Nyimbo chafu mmenisababisha nimpigie producer Daz Knowledge anitengenezee beat moja matata Campos atanifanyia video.
Maana hujui hata maana ya neno demo unakurupuka tuHa ha ha, wack...tatizo lako unakuaga mjuaji wakati you know nothing.
Nijibu maswali yangu basi..ha ha ha
Ndo maana nikakuuliza..una maana gani kusema ni demo? Naomba nijibu basi...ha ha haMaana hujui hata maana ya neno demo unakurupuka tu
Weka akiba ya maneno..hizo unazozisikia ni Demo tu ya kuwaweka watu wakae tayari,.wimbo wenyewe hauna melody hiyo.Diamond kwa kwel umenisikitisha sana..alipokuja Neyo na ikasemekana kwamba mtatoa ngoma pamoja nilijua sasa kijana anaanza kuchomoza na kupasua anga kwa kasi..nikawa na hamu sana ya kuisikia ngoma yenyewe itakavyokua nzuri na kali...
Nilipoanza kusikia kua nyimbo imeshakua released kwakwel nilikimbilia kudownload kwa haraka ili nisikie ngoma kali ambayo nilikua natarajia itateka akil yangu kwa mapenzi niliyonayo kwa muziki.
Nimeanza kusikiliza ...daaah...sikuamini...nkajua labda nimekosea kuchagua track kwenye simu yangu...nikaangalia vizuri..ndo yenyewe bwana..nimesikiliza hadi mwisho nikaishia kusikitika tu nkawa najiuliza diamond ndio ameanza kufanya vitu gani sasa...wadau wapenda mziki na mnaojua mziki na kusikiliza mziki..sio washabiki hivi huu wimbo mmeuelewa kweli? ndivyo ilivyokua inatarajiwa kweli??
Ukweli baada ya kusikiliza nyimbo hio haikukaa zaidi ya dakika 15 katika simu yangu nkawa nshaiondoa. Nkabaki na zile zile ambazo diamond alizifanya kwa umakini mfano "Kidogo" na "salome".
Bora hata "my heart" aliyoimba na casper nyovest unaweza kuisikiliza au hata hii mpya alioimba na mavoko. Diamond ajitafakari upya. Unawanyima haki wapenz wako kusikiliza mziki mzuri.
View attachment 438237