Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
View: https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha
Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More
Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya sana. Nimefurahi kumuona karudi.