Ngoma Droo

Ngoma Droo

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo hivyo housegirl/Houseboy wako ulomuacha home naye kashika Remote zote za DSTV, Deki, TV na StarTimes, Kawasha feni kaisogelea, nje kuna taa zinawaka, anampasia nguo Boifrendi wake muuza mkaa, anakunywa maji yako ya Kilimanjaro afu anarudishia ya bombani, maziwa anatumia anaongeza maji, na kama hujafunga chumba chako, ujue sasa hivi amejilaza kwenye kitanda chako na anajaribisha nguo zako.
Yes we si una fujo za mjini uko online, sasa na wenzio wana fujo za kijijini off-line home kwako. Ngoma Droo kudadeki!
 
Mi sijali sanaaa as long as aharibu kitu. Dstv inalipiwa per month akiitumia at least hela yangu inaenda kihalali inatumika muda mwingi so its okay.

Dalili za roho mbaya kukerekwa House girl wako akiangalia TV wakati ww haupo as long as ana perform all her duties.
 
Umenistua wewe mhhh ndio maana nakunywa maji ya chupa tu ikiisha tupa kule saa ngapi atabadilisha na ya bomba
 
Mi sijali sanaaa as long as aharibu kitu. Dstv inalipiwa per month akiitumia at least hela yangu inaenda kihalali inatumika muda mwingi so its okay.

Dalili za roho mbaya kukerekwa House girl wako akiangalia TV wakati ww haupo as long as ana perform all her duties.

Sa ndo dstv, star tyms na deki, c vitakolapsi Ss, kiyoyozi na feni, taa na jua
 
Ndio maisha yalivyo, kila mtu anatesa mezani pake! ila inaniuma yaani anagegedana na hboy kitandani mwangu mweh!
 
maisha ndivyo yalivyo, kutesa kwa zamu
 
Ahahaha umenichekesha kweli. Kila mtu anakula kwa kamba yake. Saa hizi nna njaa hapa na dada keshachemsha nyama anaiga supu kwanza. Akijazia maji ndo size yangu.
 
Aanze n supu? Ushaacha kununua soseji zile 100?
Kaanza na hizo asubuhi na chai nzito ya maziwa, kama una kuku wa mayai kajitengenezea matatu ya haraka haraka.
Tena hapo yuko kwenye dayati.

Na wewe uko hapa na chai ya rangi ofisini, na mchana chakula cha mafungu. Umekalia kiti kigumu mwenzio yuko kwenye sofa kajilaza na glass ya juisi ana-enjoy movie zake.

Ahahaha umenichekesha kweli. Kila mtu anakula kwa kamba yake. Saa hizi nna njaa hapa na dada keshachemsha nyama anaiga supu kwanza. Akijazia maji ndo size yangu.
 
Huyo huyo huyoooo kaingia chumbani kwako anasafishia choo mswaki wako anauosha vizuri na kuuridisha mahala pake
 
Masihara wakati wengine tupo serious kwenye utani mjue sio poa!!!!!!
 
Mnatuogopesha jamani.. kuna vitu mnatujengea kichwani tuanze kuwa ogopa wafanyakazi wandani au hata tuka anzaa kuto wasamini kwa imani ya kuwa wana yatenda hayo unayo ya sema.
 
Ndio maisha yalivyo, kila mtu anatesa mezani pake! ila inaniuma yaani anagegedana na hboy kitandani mwangu mweh!

hapo penye blue hapo umekosea, anaye-mgegeda ni yule mmkurya wa kibanda cha nyanya barabara ya tatu..ila ndio kwenye kitanda chako hujagundua tu now days kinapiga sana kelele..
 
hahahaaaaaa!!atafanya fujo zote
ila kitandani kwangu halali coz funguo
za chumba natembea nazo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom