Ha ha ha mimi kuna dada wa kazi alikuwa nikienda kazini yeye anaingiza ki-boifrendhi chake cha mtaani. Kwanza nilianza kushtuka manake dogo yule alikuwa akiniona ananipa heshima sana for no obvious reason. Kuna siku ilikuwa nisafiri ila nikakosa usafiri ikabidi nirudi. La haula! si nikamkuta dogo anamkamua yule binti kwenye kochi langu.Dah! ilibidi nicheke tu. Ile embarrassment on their faces was punishment enough. Ila nikagundua apples, mayai, na vyakula vingine vinaisha vipi manake kwangu tuko wanne tu na wadogo zangu wote ni wafanya kazi hawakai nyumbani muda mwingi wako ofisini. Angalizo kwenu ndugu zangu; ukiona kuna dogo kavaa jeans za kubana na vest (wife beaters) halafu anajifanya anakuheshimu brother ujue anakamua housegirl wako.