MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Baada ya wiki iliokuwa ya moto kwa wasanii kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii, kati ya msanii ruby na king kiba. Hatimaye maneno hayo yamechukua sura nyingine wiki hii
Habari kutoka watu wa karibu wa King wamedai mbwa huyo anayekwenda kwa jina la Ruby inasemakana amepata mimba huku mbwa dume anayeitwa Kigogo kutoka nyumba ya pili kutajwa kama mhusika wa mimba hiyo.
Huu unakuwa mfululizo wa mbwa wa mastaa kupata mimba baada ya mbwa wa Wema anayeitwa Fifi kupata mimba mwezi uliopita huku yule wa Shilole anyeitwa Nuh kupata wiki mbili zilizopita.
Tulipojaribu kumpigia simu msanii Ruby ili kupata maoni yake kuhusu rafiki yake wa jina lake kupata mimba alisema anamtakia kila la kheri katika safari yake ya kuwa mama.
Mpaka tunaingia mitamboni familia ya King walikuwa wanamfuatilia Kigogo kuona kama anaweza kutoa mchango wowote kwa watoto wao yeye na ruby.