Ngoja niropoke

mwanaume mwenye mentality ya kiafrika asiyetaka kubadilika kama ndugu yangu Mshana Jr .
Balaa lake si la kitoto.[emoji23] hiki kijembe nimekielewa sana..[emoji23]
Nashukuru umenielewa kaka yangu😃
 
Hivyo ulivyovitaja ndio humpa jeuri mwanamke and vice versa sasa sijui unataka nani a kneel down Ili apelekeshwe..
 
mwanaume mwenye mentality ya kiafrika asiyetaka kubadilika kama ndugu yangu Mshana Jr .
Balaa lake si la kitoto.[emoji23] hiki kijembe nimekielewa sana..[emoji23]
Ha ha ha hapo unakuwa mziki mnene
 
  • Umeandika vyema kabisa!
  • Kuna mmama mmoja CEO wa taasisi maarufu na muhimu Kwa nchi ameolewa kwa wanaume wawili, wote anawapa ratings kama wanaume wenye nyumba mbili wafanyavyo
Ila na wao wamekubaliana naye, acha wale maisha.[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…