Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,571
Nashukuru umenielewa kaka yangu😃mwanaume mwenye mentality ya kiafrika asiyetaka kubadilika kama ndugu yangu Mshana Jr .
Balaa lake si la kitoto.[emoji23] hiki kijembe nimekielewa sana..[emoji23]