Ngoja niropoke




dada yangu kaa kimya tu.

yanaanza yakiwa na ndoto ndefu,lakini kumbe ndani ni bua lenye wadudu,haukui muhindi.

tunafanya haya kushauri,maana ndoa ni hitaji la watu wote sio wasiosoma peke yao.
utakwenda shule,utapata pesa,utapata cheo na umaarufu,ukikosa ndoa au mahusiano rasmi lazima utajiona wewe ni kenge tu
 
Mwanamke msomi hayuko tayari kutumikishwa kwa mujibu wa Mila za mfumo dume zinazokumbatiwa na Wanaume wa Kiafrika..

Huu ndio ukweli mchungu ikizingatiwa kwamba wao sio tegemezi kama wale wasioenda shule so wanaume ndio wa kubadili Mtizamo..
 
Pambaneni tu na hali zenu kwa kweli. Mambo ni bam bam!
 
Wanataka wasomi sababu Wanataka kusaidiwa majukumu, lakini Sasa kukubaliana na yaliyomo chini ya kapeti ndipo shughuli ilipo.

si bora hata hayo majukumu wasaidike sasa.


mwanamke ananunua magauni na viati vya laki nane nane kila wakati hakuna cha maana anachofanya.

unajiuliza huyu na yule wa kukaa tu ndani bora yupi!!!!
 
Mi mwenyewe hapo pa 'ishini nao kwa akili' sielewagi,maana unakuta mke wa mtu anagawa kinoma hadi anafumaniwa,ila mumewe hamuachi,ndo hizo akili?
Hapo mwanaume hana akili
 
Mimi sikatai mtu kuoa anayemtaka awe amesoma au hajasoma. Tatizo ni wao kuoa wasomi halafu wategemee mke abehave kama asiyesoma kama bibi zao.

Elimu inakuja na mambo yake tukubali hilo. Na ukipenda mwenyewe kuoa msomi basi usilalamike pambana na hali yako ni Chaguo lako maana walikuwepo wasio soma na ni wife material lkn hukuwataka.
 
Inawezekana sana tu, nina Rafiki zangu zaidi ya 6 waliwaachisha Ke zao kazi wanaishi vizuri tu na hadi sasa wameshawini sana kiuchumi wakiwa na Watoto wao.

NB:

MAISHA HAYANA KANUNI ILA YANAHITAJI NIDHAMU SANA.
Kuachishwa kazi na Mme nacho kipaji, wanaume wenyewe nyie hawa hawa, kumbuka naye kazaliwa ana ndugu pia, sio unamwachisha kisha manyanyaso yanaanza.
 
Kaka mkubwa mliambiwa ishini nao kwa akili, tatizo wenye elimu ya kawaida wanaume huwa wanawadharau wanataka wale wanao ongea nao kidhungu sasa pambaneni na hali zenu
Nashukuru sana Mungu nilicheza kama Pele kumuoa Ke aina ya Ulweso, sasa hivi nafurahia amani ya roho ktk ndoa kwa zaidi ya miaka mitano
 
mwanaume mwenye mentality ya kiafrika asiyetaka kubadilika kama ndugu yangu Mshana Jr .
Balaa lake si la kitoto.
hiki kijembe nimekielewa sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…