Ngoja niropoke

Kuna mmoja huku nataka nimkomeshe kesho naenda kwa sangoma nataka nimtulize,awachezee wafanyakazi wenzie huko ila sio mimi
 
Brother usiseme sana, wanawake waliotulia kwenye ndoa wanatuvumilia sana sisi wanaume. Sisemi wao wapo perfect hapana. Ila sisi wanaume ni shida. Suluhisho lianzie kwetu wanaume.
 
H

Je ndoa ni win-win situation au ni dhana ya kupeana lift au kutoa lift katika maisha. Kwenye dhana ya utegemezi ndoa inamaana gani? mwanamke anauwezo kiuchumi ila bado jukumu ni la m,wanaume kwa kila kitu sasa inamaana gani?
Hiyo mkuu ndio maana halisi ya mfumo dume. Mwanaume akitakiwa awe kiongozi atabeba mzigo mzito hata kama analipwa hela ndogo. Ndo atataka kuheshimika hat kama hana hela au viwango. Hili tatizo limekaa kimfumo zaidi ya mtu mmoja mmoja. Swali dogo tu, Kwa nini mwanaume kugongewa mke kunamuuma zaidi kuliko hata mke yule kufariki?
Cc. Identity
 
nice
 
hatari sana
 
Huwa natamani sana siku moja ku-share historia yangu ya ndoa namna nilivyoowa,kwanza nikiwa na umri mdogo na jinsi nilivyokuwa na mitazamo tofauti na matarajio yasiyokuwepo na kadiri ninavyopata uzoefu zaidi ktk maisha haya ili wote hasa vijana (wanaume)wenzangu wapite nilikopita mimi.

Ipo shida kubwa sana kwa wanandoa wapya jinsia zote kutegemea makubwa sana kutoka kwa wenzi wao na kushindwa either kwa makusudi au bila kujua kuendana na mabadiliko yawe ya tabia au ya kimwili na hapa ndo hasa penye tatizo.
That's the fact

Japo umeandika kama masihara ila atakaezingatia ushauri huu atakuwa na maisha mazuri,nina experience na ulichoandika hapa.
 
Dah kaka amegusa mule mule .
Ipo siku nitatoa yangu ya moyoni sababu ya hawa viumbe wa Mungu hasa hawa intellectual womens
Bila wao na mimi leo nishaitwa baba ila sasa .

Note:Hawa sio wale wa kununua hawa ni wale kila mtu anasemega oooh a wife material to be ila kwangu hola wananipeleka uzeeni bila ndoa .

Ndugu wanasema nimekuwa muhuni
Mimi nasema sijaona bado .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…