Yes my dear, nini cha kufia? For what? For who? 😅😅mimi sijasoma lakini kupelekeshwa kama boya sipo tayari hata siku moja.Kwani kuacha na kuanza upya siyo shida kabisa.
Inapatikana without the so called ndoaFor beef sausage![]()
Kwa maneno yako hayo tisa huwezi kupingana na nature!ndoa ni asili ya binadamu hakuna binadamu aliyekamilika nje ya ndoa.Kataa ndoa
Mwanamwaiche kama bado hujakomaa kiakili si vema kuoa kwakuwa ndoa ni zaidi ya haya tunayosimuliwaKaka Mshana hii mada inahitaji kikao maalumu, mfano, kwa nini naoa, kwanini naolewa, why, faida ya nani, ana nini, nina nini, je kwa vigezo gani, vya kimungu, vya muda vya kudumu, kipimo cha mwili, roho na nafsi kati ya wahusika wamejimaje, ndoa ni kama research proposal presentation bila majadiliano na urafiki wa kweli hamna kitu.
Tatizo mnataka kumiliki range wakati level zenu Guta.Kama daladala zingekuwa na raha tudingefanya juhudi kumiliki gari binafsi![]()