Ngoja niropoke

Kila siku mnaambiwa pesa ya mke usiipigie mahesabu.
Waliposema ishini nao kwa akili...huyo jamaa ndo mfano wa mume aliyekosa akili.
Pesa ya nani usiipigie hesabu? Huu siyo ufala kweli? Of course ni ufala.
 
Kama vitu vingi vinabadilika na wanaume pia wanabadilika iweje mwanamke abaki hivyo hivyo kama miaka mia iliyopita? Itawezekana vipi?
Tukubali mabadiliko
Imapelekea na wewe umesha anza kutoboa masikini na kusuka, imrbaki tu kuanza kuvaa dela
 
Sitawahi kujuta au kusema natamani nisingewahi kukutana nawe, kwa sababu hapo awali ulikuwa kile nilichohitaji.

Bob Marley

MAISHA CHROME
 
nimezaa nao ha wasomi watatu moja anaheshima staki nataka
 
Mwanamke wa kiswahili akiwa na master's degree na kazi muepuke, hafai hata kua mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…