JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Twende... Twende...Eti nyie kwenu ni walokole mpaka ugali mnasonga kwa msalaba.....twende twende
Macho yako ka mke wa mtu aliyefumaniwa,poa twende xaxa,xaxa,unatembea na demu unatngsha mwenyewe.....,
Umekomaa sura kama goti la kiwete
demu wako mwembamba hadi ukienda nae disco ma baunsa
wanasema haturuhusu kuingia na miwa.
Umekomaa sura kama goti la kiwete
demu wako mwembamba hadi ukienda nae disco ma baunsa
wanasema haturuhusu kuingia na miwa.