Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,011
- 12,504
Leo kuanzia paragraph ya kwanza imenifanya nifikirie sana boss Kiduku Lilo hasa hasa:
1. Una miaka 40 huna gari huna nyumba, hata ukinunua uta-enjoy miaka 10 au 20 tu.
2. Kujilazimisha kusoma huku ukijua mfumo wa elimu hauwezi kukukomboa.
3. Mtu umepambana toka utotoni halafu unaharibu kipindi cha balehe.
4. Huna cha kurithi kwa wazazi zaidi ya madeni halafu unafanya ujinga.
5. Hujawaacha nyuma hao ndugu zetu wanataka gari halafu hawajui mafuta yatatoka wapi.