Ayusema
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 549
- 189
Bila technic hela mnayoa nyie? Mwenyewe kuna mtu nimemwambia anipe hela mwezi wa 5 naenda nje kutibiwa, kanipa hela ya passport, visa, bado matumizi, mwezi wa 5 namuweka black list atajua nipo nje, siku zikitimia namtoa afu ndo inakuwa nimerudi, MJINI MIPANGO!
Daaah akiwa broke ass dude hana chake right? lara 1... haaa haaa unakula vyako.....
Last edited by a moderator: