na nyie mnayatafutaga acha yawakute, unamuhudumia mtu ambae wala si mkeo wala ndunguyo kisa nini? umekuwa mzazi wake au kaka yake?
Bila technic hela mnayoa nyie? Mwenyewe kuna mtu nimemwambia anipe hela mwezi wa 5 naenda nje kutibiwa, kanipa hela ya passport, visa, bado matumizi, mwezi wa 5 namuweka black list atajua nipo nje, siku zikitimia namtoa afu ndo inakuwa nimerudi, MJINI MIPANGO!
ilikuwa ya basi wala si ndege
Aisee me hela ya mme wangu naifaidi sasahv lakn enzi za kudate niliishia kupelekwa outing na kununuliwa vizawad basi, lakn pia haikuwa inanisumbua manake me si muombaji hela kwa mwanaume cjawah, sijazoea na siwez kwanza na mpaka niombe ujue nimebanwa hasa na sitakwambia naomba ntakwambia nikopeshe, alikuaga ananishangaa
Dhaaa.....Waume kweli shida ipo!!!!Sasa mbona hako kauongo kadogo sana... as long as ni mzuri vumilia tu hiyo ndo gharama yake...
Ukimshindwa nipatie namba yake...
Dhaaa.....Waume kweli shida ipo!!!!
Sorry mkuu,ujumbe ulikuwa wa Lara1Vipi mkey...
mhh kumbe tupo weng eh?? Mrsleo
Sasa tusipowahudumia mnalalamika tukiwahudumia ndo kama hvyo tufanyaje mridhike tunawapenda sna:what:
analalamika nani bwana, mbona sisi wengine hatukulalamika
No free papuchi,ahudumie shem wetu arudi bhana,kinaul cha basi anafatilia hivo watu wanakodi hadi meli/ndege sembuse hiyo? Ajikaze kiume tu
apotezee tu kwa kuwa alishindwa kumtimizia haja zake.
basi mimi aniache tu