Ngo,ngo,ngo,ngooo! Wenyewe jf mpooo!

Ngo,ngo,ngo,ngooo! Wenyewe jf mpooo!

Chapoo

Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
18
Reaction score
3
Nimezaliwa ndani ya wanajf,naomba kupokelewa ktk familia ya wanaJF! Nimekuja na kahawa ili vijana wasilale ktk ukombozi halisia.Je,kuna nafasi jamvini?
 
Karibu sana Chapoo! Watu wakenya wanapenda sana Chapoo (Chapati) ha! ha! ha!
 
Hee...jamani mkaribisheni huyo, humsikii anavo gonga kwa nguvu, atavunja mlango. Ingia tu na viatu usivue.
 
Back
Top Bottom