Ngo ngo hodiiii

Ngo ngo hodiiii

collycool

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
203
Reaction score
192
Habarini waungwana natumai ni wazima kwa wale wagonjwa Mungu awape nguvu na afya nzuri mapema ili tuendelee kusongesha hili gurudumu la maisha, naomba niwe mmoja wa familia yenu wapendwa, kama mtafurahi mimi kuwa miongoni nitafurahi pia
 
Karibu sana mpendwa..
Hii ndiyo JF..
Mawazo yako ndiyo kila kitu,sana sana yakiwa ya kujenga jamii yetu...!!
Karibu sana..
 
Pita pita pita mpaka ndan mkuuu
 
Your order please segnor(a)
Liquor+Brands_my+marketing+Vichar.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom