Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,763
- 145,548
Kiranga, unaweza kuandika kwa Kiswahili? Mie niliacha form 2, sijafikia level hio!
Una hakika tatizo ni Kiswahili? Nisije kuandika Kiswahili ukakemea pepo wa misamiati bure!
Kiranga, unaweza kuandika kwa Kiswahili? Mie niliacha form 2, sijafikia level hio!
Una hakika tatizo ni Kiswahili? Nisije kuandika Kiswahili ukakemea pepo wa misamiati bure!
UmemalizaMsukuma alikutana na Mhispania asiyejua Kiswahili wala Kiingereza kaja kujifunza kucheza ngoma za Kisukuma ndani ya Bujora, Msukuma akasema "Mhola?", Mhispania kusikia hivyo akafikiri Msukuma kaongea Kihispania kasema "Hola" akamjibu "Hola".
Wote wakawa wamekamilisha salamu, Msukuma kaongea Kisukuma (Mhola? = Salama?) na Mhispania kasema Kihispania (Hola = Hello)
Penye nia pana njia.
Bora kujaribu ukashindwa watu wanaweza kujua umeshindwa wapi, kuliko kutojaribu kabisa.
Nina uhakika
Duh!!!!!
daah, kaka hii ngeli yako hua inatuacha solemba wengi kwa kweli mbona misamiati migumu hivi. mweh? mi najua smorgasbord ni scandinavian buffetTo be fair, English is mostly a smorgasbord of a potpourri of disparate and illogically disjointed Indo-European linguistic constructs.
Kiranga, wengine sisis tuliishia kupruvu X is equal to Y, na mwisho tulikuwa tunamalizia kwa kusema...hence pruvdi, au shouni kama ulitakiwa kushoo... Sasa hivyo vingereza vyako ni sawa na kuniombea godi aniblasti ili a nipasi aweiTo be fair, English is mostly a smorgasbord of a potpourri of disparate and illogically disjointed Indo-European linguistic constructs.
Msukuma alikutana na Mhispania asiyejua Kiswahili wala Kiingereza kaja kujifunza kucheza ngoma za Kisukuma ndani ya Bujora, Msukuma akasema "Mhola?", Mhispania kusikia hivyo akafikiri Msukuma kaongea Kihispania kasema "Hola" akamjibu "Hola".
Wote wakawa wamekamilisha salamu, Msukuma kaongea Kisukuma (Mhola? = Salama?) na Mhispania kasema Kihispania (Hola = Hello)
Penye nia pana njia.
Bora kujaribu ukashindwa watu wanaweza kujua umeshindwa wapi, kuliko kutojaribu kabisa.
daah, kaka hii ngeli yako hua inatuacha solemba wengi kwa kweli mbona misamiati migumu hivi. mweh? mi najua smorgasbord ni scandinavian buffet
even in times of great domestic political crisis, the liberties and freedom of an individual must remain supreme above the needs of the country!Mambo ya kawaida sana, kwetu Kiswahili kina nguvu sana tumekosa kujua hata Kiingereza cha kawaida tukikiona tunashangaa, wakija wenyewe na kutupiga Churchillian critique na Dickensian diction je?
hahahaKiranga, wengine sisis tuliishia kupruvu X is equal to Y, na mwisho tulikuwa tunamalizia kwa kusema...hence pruvdi, au shouni kama ulitakiwa kushoo... Sasa hivyo vingereza vyako ni sawa na kuniombea godi aniblasti ili a nipasi awei
even in times of great domestic political crisis, the liberties and freedom of an individual must remain supreme above the needs of the country!