Unapoiita habari yako "News Alert" tukueleweje!?
Ni vizuri member wakaelewa kwamba hatufanyi biashara ya kuvutia viewers wa thread. Heading na contents vitu viwili tofauti kabisa. This is serious deceiving members.Hata mimi nimeshangazwa, nilidhani kuna habari njema kumbe...
Ni vizuri member wakaelewa kwamba hatufanyi biashara ya kuvutia viewers wa thread. Heading na contents vitu viwili tofauti kabisa. This is serious deceiving members.
Hivi thread punguwani kama hizi zinapenyaje kwenye jukwaa la griti sinkazz bila kuchujwa. Hivi huu ni muda wa kutia presha ili watu wajiuzulu? Kila siku majungu majungu hadi lini? Au miafrika ndivyo tulivyo?

<br />Ni vizuri member wakaelewa kwamba hatufanyi biashara ya kuvutia viewers wa thread. Heading na contents vitu viwili tofauti kabisa. This is serious deceiving members.
<br />Mkwère mwenyewe, inabidi awajibike!
kama kweli sisi ni great thinkerz 2jifunze kusoma maneno na alama za mshangao,swali au koma!heading ya hii thread mwishowe ilikuwa na alama ya kuuliza!
Great thinkers huwa hawatoi majibu ya dhihaka,kukera wala yasiyo na busara!
shame 2 u all mnaodhani ni great thinkerz kumbe sio