Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm
Well, Ngereja alikuwa anaenda na rekodi ambayo wao wenyewe waliita "BAJETI MBADALA" na kuichapa kwenye RAIA MWEMA na MWANANCHI na kitabu cha "BAJETI MBADALA" cha upinzani, ambacho Ngeleja alikuwa amekishika mkononi anakisoma. Kama Tundu Lissu anasema kilichosomwa na Zitto ni "maoni" na sio "bajeti mbadala" kwa nini waoe wenyewe CHADEMA wameiita "Bajeti Mbadala"?
CHADEMA wakachemka tena kusema wana jumla ya ma trillioni ya vyanzo vya mapato lakini ukienda kwenye itemization of funding wamesema mapato ya TRA "zero," na mapato ya ndani "zero." Na Ngeleja akashikilia hapo hapo, rekodi zao wenyewe CHADEMA, utakuwaje na ma trillioni ya mapato kama TRA imekusanya shilingi sifuri? Hahahahahhahaahaaaa....
It was extremely interesting session because it captures a snapshot of what will become once CHADEMA holds government kwa sababu Ngeleja kwa experience yake ndefu serikalini na kwa kukosolewa miaka sita aliongea kama mpinzani vile, kwa hoja ulizozoea kusikia kwa wapinzani, ndo maana ikabidi CHADEMA wamtumie Halima Mdee, Lissu na Mbowe kumkabili. Wakashindwa, ndo maana mwisho wa siku Halima alifuta kauli yake kwamba "Ngeleja ana uchungu wa kutoswa uwaziri" kijembe ambacho kilikuwa hoja nyepesi.
Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm
Naona Mdee amechokonyoa palepale kwenye kidonda...
Mods unapoondowa post yangu make sure na hii thread unaiondowa kwenye subscription folder langu. huu ni utoto sasa, post yangu kupotea hapa na wala haioneshi kwamba imekuwa deleted by mods.
Mida hii wakati Mh. Ngeleja akichangia bajeti, ameishambulia bajeti mbadala ya Chadema na kuwa sahambulia Chadema kuwa ni waongo na wanawapotosha wananchi, kaongea kwa hisia kali na hasira akiwaita Chadema kuwa hawawezi kuwa seikali mbadala na kuwaambia kuwa ni rahisi kuandaa bajeti ya harusi na si bajeti ya nchi!
Mjadala bado unaendelea na miongozo ya Mh. Mbowe, Mdee na Tundu Lissu!
Kuna watu wengine utafikiri wametoka chooni bila kuchamba. Pfuuu!!! Rudi basi kamalizie haja na uchambe sawasawa!Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm
Noana mama Makinda aliamua kuua soo kiaian, ila alikuabliana na Hoja na Mh. Tundu Lissu kuwa kinachojadilia ni Bajeti ya Serikali na hakuna kitu kinaitwa Bajeti Mbadala bali ni mapedekezo ya kambi ya upinzani.
Ngelaja kakurupuka sana! Kukosa uwaziri mchezo!