Ushauri kwa Director Modestus Francis Kipilimba - Part II

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,467
2,861
Bila shaka kuna mambo napenda kuyaweka wazi kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa kwako Director Kipilimba.

Mimi ni Mtanzania najiona nina wajibu wa moja kwa moja kama Mzalendo, ni kufanya lililo jema kwa njia ambayo hata kama sio rasmi. Nina imani wewe kama mhusika utapata ujumbe wangu pasipo kuchakachuliwa kama ukipitia kwa vijana wako na kama wasipoelewa muktadha wa hoja yangu.

Wakati wa Yesu akiwa duniani, kuna watu wane walilazimika kuvunja paa la nyumba ambamo alikuwamo Yesu. Watu wale wanne kwa nia njema kabisa iliwalazimu kufanya vile ili kumshusha jamaa yao aliekuwa kapooza. Kwa kuwa kulikuwa na kiwingu sana pale nje na haikuwa rahisi kumpenyeza mgonjwa kupitia mlangoni, the unconventional method which had to be employed to ensure the job is done was to break the roof.

Tujikubushe pia, Taifa la Israel, chini ya mfalme Saul na wapiganaji wazoefu kama akina Abneri na Eliab kwa siku 40 hawakuwa na hata ujasiri wa kumfuata Goliath ili kupigana nae. Hii hadithi ina mambo mengi ya kujifunza kwa kuoanisha na maisha yetu ya kila siku hapa Tanzania.

Tunafahamu, Dira ya Maendeleo ya Taifa imeasisiwa mwaka 1997, mpaka leo, sina hakika kama tumefikia japo nusu ya kuwapigiza maadui Umasikini, Ujinga na Maradhi. Maana hao ndio maadui wetu wakubwa.

Tunajua wapo wataalamu Tanzania, kama walivyokuwepo wataalamu wa vita akiwamo Abneri na Eliab kaka wa Daudi.

Tunakumbuka pia,Farao wa Misri aliota ndoto ambayo tafsiri yake ilikuwa miaka 7 ya mavuno tele itakayofuatiwa na miaka 7 ya ukame ambayo ilipelekea njaa kwelikweli. (Yet Farao hakuweza kuelewa maana ya njozi, mpaka alipopatikana Yusuf kama outsider)

Ujio wa Yusuf kutoka gerezani, kwa leo bila shaka twaweza kusema
  • Hakuwahi kuwa mwajiriwa wa serikali ya Farao
  • Hakuwa na uzeufu wa kufanya kazi kama za food security katika CV yake. Yet alikuwa visionary on how it can be done during bumper harvest in Egypt. Revelation on how the dream meant ilihitaji uweza wa Mungu. How to make the job done, ilitakiwa liwe ni jukumu la wanadamu kwa Yusufu kushirikiana na watu wengi tu katika utawala wa Misri.
  • Wasifu wake wakati jalada linafika kwa Farao, Yusuf kwa bahati mbaya alikuwa mfungwa. (Mfungwa alieingia gerezani kwa kosa la kutaka kubaka. Bila kujali alisingiziwa. Hii bado inatupa picha kuna watu wanaweza kuwa gerezani au kufukuwa kazi kwa kusingiziwa na “ikala kwao”)
Ikumbukwe pia, kama Daudi (alivyokuwa outsider wa vita za wakati huo kwa kutumia mishale, mikuki na sime; Daud aliamua kutumia kombeo kama mkakati wake. Nakata kuamini kombeo was unconventional strategy to take down Goliath. Tunaoendaka kanisani tunaamini Mkono wa Mungu ilimsaidia kulifikisha jiwe kwenye kichwa cha Golith. Tukifanya simple analysis, yet kulitakiwa wanadamu wahusike na kufanya maamuzi ya makusudi kuvunja “red tapes” ili strategy yake iwekwe mezani kwa Saul na wasaidizi wake.

Hata baada ya mkakati wake kuwekwa mezani, “decision makers” walikuwa na jukumu la kumruhusu aende kupigana au wampige chini maana mkakati wake haukuwahi kutumika popote katika vita, kwa mujubu wa historia ya wakati huo.

Daud alipokubaliwa na kushinda mpambano ule, USHINDI wake ulikuwa ni ushindi wa Israel yote.

Pengine tujiulize, ni mara ngapi hapa kwetu Tanzania, kuna “outsiders” kwenye circles za decision makers kwenye maofisini kwetu wanakuwa incorporated kwenye issues ambazo walio “jikoni” wameshindwa?

Wale wanaoshindwa, kushindwa kwao, sio dhambi. Maana yake kuna haja ya kutafuta new brains to help to get rid of the problem(s) in place.

Tunafahamu pia, kwenye team yoyote ya mpira wa miguu kuna wachezaji 11 uwanjani. Na kuna reserve 12. Kama wachezaji 11 wa mechi hii wameshindwa kutoa matokeo, sio dhambi kuwachukuwa wachezaji wa akiba. Na kama katika tournament team imeshindwa kuleta matokea, kuna haja yak u-recruit new players who can ensure the national team is winning the trophy kwenye tournament inayofuata

Nimewahi kusema hapa, kuna Mtanzania ana mradi wa agro-processing ambao unaweza kuajiri wafanyakazi (pensionable staff) zaidi ya 100. Soko la ndani la mradi huo lipo na bila shaka bidhaa zaweza kuuzika hata soko la nje. Mhusika mwenye mradi ashapata experienced consultant, ashapata experiencec contractor wa kuhakikisha kinachozalishwa kina-meet both domestic and global standard. Kwa mwaka kiwanda kinaweza kulipa kodi (corporate tax) zaidi ya billion 5 tokana na business projections. Ukijumlisha 18% VAT deductions kwenye kila mauzo ya industrial productions na manunuzi ya huduma kama umeme, maji, huduma za kibenki, bima, logistics ni fedha nyingi zinaingia kwenye mzunguko. Uwekezaji wa plant hiyo imeweka mkakati wa Out-growers scheme utakaochukua model ya Israel na Netherlands (maana hao ndiyo potential consultants and contractors) huko nako itakuza ajira na kuongeza uzalishaji.

Kuna technological transfer ambapo kuna wengine wanaweza ku-adopt same model baada ya kuonekana imefanikiwa.

Yet, kuna watu (in decision making posts, bongo yetu hii) kwa kuwa hawaelewi how it can be done… wanakwamisha/wanachelewesha.

Kuna na “wanajeshi vitani” Tanzania hii ambao hawajuai adui zetu wakubwa ni Umasikini na Ujinga (na maradhi ni matokeo ya hao wawili wa kwanza). Tujiulize, do we have right people in place that can ensure we’re winning battles and advancing forward? Kuna maeneo, kazi bado ipo. Ndiyo maana nakushauri Director Kipilimba, think on how you task yourself to recruit people like Daudi, Yusuf… au sio mbaya hata wakawa consultants kama hawana sifa za kuwa absorbed in your work settings.

Moja ya eneo la andiko lililopita tuligusia namna ya kutafuta various models of economic intelligence na dhana ya strategic intelligence ili kutokea hapo tuwe na mifumo yetu.

Mathalani kwa Marekani katika kujipanua kwake kiuchumi duniani,wao wamejikita katika formula inaitwa “national security” equals “financial security”.

Marekani wanatumia mkakati uliojikita katika nguzo nne; jeshi, teknolojia, uchumi na utamaduni. Nguzo zote nne zinalenga kuhakikisha zina muunganiko wa hali ya juu kwa msingi wa kuwa na competitive advantage kwa mambo yao mengi.

Ushauri kwa akina Dr. Mpango na Waziri Mwijage, tunaweza kujifunza kwa model ya Rais Reagan wa Marekani. Regan alipoingia madarakani 1981, alingia na model ya uchumi ya “supply-side economics”. Ulikuwa mkakati wa uchumi uliolenga kukuza uzalishaji wa bidhaa na kukuza utoaji wa huduma (kama vile kibenki, bima, usafiri, utalii, pensheni) kwa msingi wa dhana ya “supply generates its own demand”….Zoezi hilo liliendana na kupunguzia kodi biashara mpya zinazoibuniwa, mapato ya serikali (kodi, ushuru na tozo mbalimbali) ziliongezeka very automatically kutokana na kukuza uzalishaji.

Hii ilichochea ongezeko la ajia na ukuaji wa uchumi hali kadhalika.

Siko hapa kuleta hoja yak u-copy na ku-paste, ila tunaweza ku-customize kwa ku-develop strategic economic model itayokuwa functional in Tanzania economic growth setting.

Mwaka 1993 Rais wa Marekani Bill Clinton aliunda baraza la Uchumi la Taifa lililotakiwa kufanya kazi kwa ukaribu na Baraza la Usalama la Taifa.

Waziri wao wa mambo ya nje wakati huo Warren Christopher alisisitiza kwa kusema … “American economic security must be the first priority in foreign policy”…

Tuangalie kutoka Sweden aliko Dr. Slaa. Hii ni nchi ndogo sana barani Ulaya. Kwa wao kujua changamoto za udogo wa nchi umuhimu wa kujitanua kibiashara waletengeneza mfumo wa kimataifa wa elimu. Kila mwanafunzi alitakiwa kwa uchache kufahamu lugha zingine 3 mbali na
Ki-swede.

Mkakati huo uliwafanya mwaka 2010, Sweden iwe na Makampuni 30 kati ya kampuni 2000 kubwa duniani zinazotambuliwa na Forbes. Makampuni hayo ni kama AstraZeneca,Telia Sonera, Ericsson, Ikea ABB, TetraPack na mengine mengi.

Tanzania tuna maji baridi mengi sana kutokana na ziwa Victoria, Nyasa, Tanganyika, Rukwa na mito chungu mzima. What is our strategic economic intelligence kufurikisha soko la ndani na nje kwa samaki?

Kwa kusoma vyanzo mbalimbali vya taarifa vinaonesha, kwa mwaka Tanzania, tunaagiza zaidi ya tani laki 4 za samaki sato toka Vietnam au China. Kwa dhana rahisi kabisa, iwapo samaki wanauzika kwa sh. 5,000 @ kg. Maana yake kwa mwaka trillion 2 zinatoka nje ya mipaka yetu kufuata samaki ambao wako ndani ya uwezo wetu kuwazalisha hapa ndani. (kiuchumi tunatengeneza deficit katika balance of trade and balance of payment).

Ndugu zangu Watanzania, ni vema tukubaliane, mambo hayatakuja very automatic Watanzania tukazalisha samaki. Kuna ulazima wa kuwa na mkakati wa pamoja (deliberate and strategic effort) kutoka Wizara ya Uvuvi, Wizara ya Biashara, Wizara ya Fedha, Wizara ya Vijana na Ajira (ili kuichochea kama chanzo cha ajira). Wizara ya Elimu kupitia vyuo vyetu hata ikiwezekana kwenda nje kwa ajili ya Training kupata contemporary methodologies on how we can do it better. Strategic competitive advantage yetu kwenye eneo la agro outputs ikiwa kuuza fresh or processed products, how do we take a strategic competitive advantage to maximize income/foreign earning out of this sector?

Tukichungulia toka vyanzo mbalimbali vya habari, China, Indonesia na India wanaongoza kwa kuzalisha samaki kwa mfumo wa ufugaji hapa duniani. China wanazalisha 58.8 million metric tons (sawa na kg 58,800,000,000)

India wana zalisha 4.9 million metric tons (sawa na kg 4,900,000,000)

Pamoja na umahiri wa China na India katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, mwaka juzi (2016), China na imesaini MOU kupeleka vijana wao Israel kwa kupata “maujanja”zaidi, hali kadhalika India nao wamefanya hivyo mwaka huu. Mwaka huu India nao wamekusudia kwenda Israel kupata “maufundi zaidi” Rejea tovuti hizi hapa chini
China signs 5-year agreement with Galilee institute
01/07/2018 | 3 MOUs Signed between GIMI and the Government of Gujarat, India

Sisi Watanzania, kuna haja ya kukubaliana kuwa tuna jukumu la Kitaifa kuandaa vijana wenye jicho la kuwa “wapiganaji” katika eneo la kukuza uchumi kwa juhudi za makusudi, vijana watakaohusika kujenga uchumi wa nchi kupitia fursa mbalimbali ndani na nje ya nchi. It will not come very automatic, we should strategically do our homework, prepare our people to venture into the business world. Mrejesho wake utalipa tu.

Kwenye samaki tu, tukiweza ku-leverage…na kulifikia soko la Malawi, Zambia, Congo, Eritrea, Madagascar, Comoro na Seychelles na Mauritius. Tunaweza kuwa na competitive na kupiga pesa. It goes without saying watu wakiwa na hela, spending/purchasing power inakuwa kubwa; TRA itapata kodi by default kutoka viwandani, wafanyakazi na watoa huduma viwandani.

Eneo la mwisho sio kwa umuhimu… ni mfano wa wazi kabisa... taarifa ya CNN hivi karibuni inaonesha kuwa Kenya imevuna $800 million ( zaidi ya TZS Trilion 1.8) kwa soko la nje ya nchi pekee…

https://edition.cnn.com/2018/10/08/africa/kenya-china-flower-market/index.html
Kumbukumbu zingine zinaonesha kuwa Kenya inapata zaidi ya US$ mil 500 (Zaidi ya TZS 1 Tril)

Global Leaders In Cut Flower Exports

Sekta ya maua pekee nchini Kenya imeajiri kati ya watu laki 5. Na watu elfu 90 ni wakulima wadogo wadogo.

Sisi Watanzania, how do we take advantage of our geographical location to in safeguarding our economy and penetrating our homemade products and services to our neighboring countries or abroad to create surplus in balance of payment and balance of trade?

Kuna maswali ya kujiuliza;
Nini tunafahamu na tunajua kuwa tunafahamu (what we know that we know);
Nini hatufahamu na tunajua kuwa hatukifahamu - latent knowledge (what we don’t know that we know);
Taarifa/Maarifa ambayo tunajua hatuna information vacuum (what we know that we don’t know), na
Taarifa/maarifa ambayo hatujui kuwa hatujui the blind points (what we don’t know that we don’t know).

Bahati nzuri kwetu pia, Balozi Mahiga ambae ni Waziri wa Mambo ya nje kwa sasa, aliwahi kuwa mkuu wa Usalama enzi za Mwalimu na kabobea katika diplomasia ya nje. Dr. Kipilimba aliwahi kuwa Mkuu wa Idara ya Risk Management pale BOT.

Kwa kuchanganya maarifa na uzoefu mlio nao na kwa kushirikiana na wadau wengine msibebe mizigo mzito peke yenu; Shirikianeni na Watazania wengine ili kuifikia Tanzania yenye maziwa na asali. Akina “Daud” wapo, akina “Yusuf” wapo, bila shaka hata kijakazi alietoa habari kuwa bosi wake Naaman akifika kwa Nabii Elisha atapona nao wapo. Ni namna gani tunawatumia.

Wakati mmoja Uingereza ilikuwa na predominance power kwa kudhibiti route za biashara na kwa namna hiyo wakatumia mkakati huo kama decisive weapon in geo-strategic economic development. Twaweza ku-adopt kitu kutokana na hili la Uingereza?

Mtalam mmoja wa Ufaransa wa masuala ya Uchumi anaejulikana Pascal Lorot, ambae alikuwa muasisi wa jarida la Géoéconomie. Lorot alitoa maana ya geo-economy miaka ya ’90 kama …the analysis of economic strategies – especially commercial ones – designed by the States within the context of those policies aimed at safeguarding national economies and some of the elements inherent to them, mastering certain key technologies and/ or conquering certain sectors of world market regarding the production or marketing of a sensitive product or set of products which provides its holders (State or domestic company) with some power or international projection and contributes to reinforcing their socioeconomic power”.

Let there be a strong and true Public Private Partnership to ensure Tanzania is taking down our enemies who are ignorance, poverty and diseases. The other two who are underway are probably indecisive and inability to embrace assets amongst nationals to ensure we are becoming team players.

Sir, once again, I feel like reminding you, that, the boss you serve is strong, courageous, bold,decisive and with him, you can greatly accomplish a lot in your tenure.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
You, Sir, are truly patriot.
Siyo peke yako unayewaza haya, shida inakuja ktk utekelezaji. Nchi za wenzetu kunakuwa na watu wana recruit potential candidate kuingia moja kwa moja ktk ujenzi wa taifa kupitia jeshi au vyombo vingine vya usalama. Hapa nchini ni tofauti. Kama tunaona tulionao wanatukwamisha mahali Kuna vipaji kibao vipo au vimetoka Stanford, Harvard, Yale MIT etc hawatafutwi, hawashawishiwi wanabakia kufanya kazi ktk makampuni ya nje siku wakirudi hapa washaamua kurudi wanafungua kampuni zao amabzo zinafanya vizuri kuliko za kiserikali. Tatizo who is recruiting who, to what?
 
Huwa tunasema kila siku kwa mfumo wa uchumi wa dunia ulivyo kuendelea bila kuwa na watunza siri ( who covertly gear ) huo mfumo ni ngumu. Tunahitaji watunza siri brainers wa kuendesha mifumo ya kiuchumi bila hivyo ni ngumu.
Ukiiona China imeibuka iko pale ujue kuna watu wako expendables ili wewe uone kwa macho.
 
Jamaa yangu sina cha kukwambia, ila huwa nawafikiria sana hawa wanaokimbia na ving'ora barabarani wanajifanya wanaharaka sana lakini mawazo kama haya ya mwana JF hawana..

Binafsi naamini samaki tu wanatosha kukutoa kama tutaamua kuvua kwenye bahari, mito na mazawi yetu, na sio kutegemea hawa local fisherman na vimitumbwi hivi. Uwekezaji mkubwa unahitajika wa fish trawler's na mabwawa ya kufugia samaki.
 
Mkuu tupo bize kuua upinzani na kuteka watu na kisha kuwapoteza wale wasiounga mkono juhudi,asante kwa ushauri ila hayo uliyoyaeleza siyo kipaumbele chetu,kipaumbele chetu ni kuhakikisha CHADEMA inakufa na kila anayesapoti upinzani kwa chini chini tunampoteza kabisa.
 
Ushauri huu sijui kama utasikilizwa. Kwakweli sisi ni maskini mno wa fikra na vitendo.
Hatupaswi kuwa na uchumi au hali ya kijamii duni namna hii.
 
Amemshauri Dr.Kipilimba kutazama nama mpya ya kusajili na kuajiri Wana Usalama hata wale ambao wanao dhaniwa kuwa ni dhaifu na hawana mafunzo ya kiusalama; tuwatumie badala ya kuwadharau!
Napingana sana na dhana ya kuwa eti walioko jkt ndo wako vzri, pili ktk kuajiri kitendo cha mtu kuonyesha nia ya kutaka hyo kazi kuonekana hafai kuwa mtumishi wa idara nalipinga sana kwani wanao walazimisha matokeo yake ni mtu kufanya anavyojisikia hana ile passion ya kazi husika. Na mm naendelea kutoa wito wabadili mfumo either wa kuajiri au or mfumo wa kiutendaji
 
Brains like yours should be incorporated in our national economic plan, so that we could be able to achieve our Tanzania Development Vision 2000-2025.
 
Binafsi nimepitia part 1 na hii part 2. Nimependa. Kuna hoja hapo kuunganisha nguvu na mikakati ya wizara ya vijana, kilimo, mifugo na uvuvi na biashara nk..Itaongeza ajira kwa vijana. Badala ya nchi kukopa hell na kupeleka bank ya kilimo basi iangalie jinsi ya kutumia hizo wizara kuongeza ajira kwa vijana kupitia ufugaji na kilimo na IT katika kilimo na mifugo. Kama wewe nimewahi andika katika taasisi kadhaa za umma ziangalie hilo lakini hakuna anaona umuhimu wake. Naamini mkuu wa usalama atachukua ushauri wako.
 
Kiranga kuna siku kama sikosei ulisema unamawasaliano ya moja kwa moja na baadhi ya ofisi za serikali. Naamini kama umeyaona haya mawazo yanafaa utafanya kitu, aidha mawazo yako pia yanahitajika.
Hawa wengine ni wanafamilia.

Ila familia ilinikataza kuongelea siasa na dini katika vikao vya familia.

Kila nikiongea nawachana sana.

Ile style ya Wu-Tang "raw Imma give it ya, with no trivia, raw like pure uncut from Bolivia".

Halafu unajua kina James Comey wasivyopenda kukosolewa.
 
Back
Top Bottom