Ney Wa Mitego Matatani Basata!!!

Ni hivi huyu Neema ***** tu, siku zote huimba upumbavu na kwa wanaomdanganya humwambia "hebu wachokoze ili wajibu au waanzishe ugomvi" Maskini kilaza Neema hutopata jibu labda la BASATA, coz watu wa busy kusaka pesa na elimu na sio kama wewe kilaza unaeshinda kwenye vijinondo ilhali kwako unashindia kahawa na kashata.KIONE KI FREEMASON KOKO CHA MANZESE, kinatia hadi huruma!!! Pttuuu!!!
 
waliotukanwa waende mahakamani...wasipoenda tutawashangaaa....ila huyu ney wa metego mwehu kwanza angetwambia hilo jina maana yake nini...afu ye mbona aibu zake hazisemi au ye ni msafi??
 
Ni hivi huyu Neema ***** tu, siku zote huimba upumbavu na kwa wanaomdanganya humwambia "hebu wachokoze ili wajibu au waanzishe ugomvi" Maskini kilaza Neema hutopata jibu labda la BASATA, coz watu wa busy kusaka pesa na elimu na sio kama wewe kilaza unaeshinda kwenye vijinondo ilhali kwako unashindia kahawa na kashata.KIONE KI FREEMASON KOKO CHA MANZESE, kinatia hadi huruma!!! Pttuuu!!!

mkuu we ni demu manake dah hyo mipasho yako,ni noma!
 
sun wu;]Huku ni kutafuta umaarufu kwa mgongo wa kudhalilisha wengine....

Not good at all.
Umaarufu gani anaoutafuta? acha hizo ww, huyu jamaa anasema kweli tupu, vitendo wanavyovifanya hao ******* vinatia kinyaa, kama imekukereni kunyweni sumu mfe!!!
 
mungu wangu hichi kitu nilikuwa sijui kabisa, ebu kwanza kuna neno hapo eti bongo star search kuna demu msagaji ni nani huyo au ndio huyu mama mzuri hivi kweli anafanya vitu hivyo? anyway ni namna ya kupata raha anayoitaka nilishilie maisha ya watu ila nafurAhi kufahamishwa.
maoni yangu huu wimbo haufai haufai haufai haufai kabisa unadhalilisha kabisaaaaa watu hata kama mtu ni malaya, shoga, msagaji, basha ukimwambia hadharani ataacha?? no way itafanyika kwa siri na kama ndio umemuongezea speed maana watu wengi watajua na ndio watamtafuta in short mmewatafutia wateja,
napita kama simo
 
Ni hivi huyu Neema ***** tu, siku zote huimba upumbavu na kwa wanaomdanganya humwambia "hebu wachokoze ili wajibu au waanzishe ugomvi" Maskini kilaza Neema hutopata jibu labda la BASATA, coz watu wa busy kusaka pesa na elimu na sio kama wewe kilaza unaeshinda kwenye vijinondo ilhali kwako unashindia kahawa na kashata.KIONE KI FREEMASON KOKO CHA MANZESE, kinatia hadi huruma!!! Pttuuu!!!

aya maneno ukiyatamka mbele yake ndio utafahamu maana ya mkong'oto jazz band.
 
mungu wangu hichi kitu nilikuwa sijui kabisa, ebu kwanza kuna neno hapo eti bongo star search kuna demu msagaji ni nani huyo au ndio huyu mama mzuri hivi kweli anafanya vitu hivyo? anyway ni namna ya kupata raha anayoitaka nilishilie maisha ya watu ila nafurAhi kufahamishwa.
maoni yangu huu wimbo haufai haufai haufai haufai kabisa unadhalilisha kabisaaaaa watu hata kama mtu ni malaya, shoga, msagaji, basha ukimwambia hadharani ataacha?? no way itafanyika kwa siri na kama ndio umemuongezea speed maana watu wengi watajua na ndio watamtafuta in short mmewatafutia wateja,
napita kama simo

salama j
 
mkuu mnauthibitisho jamani? au watu kupakaziana? kuna mtu yoyote alishaliwa na huyu dada? nampenda sana salama dah sio kimapenzi the way anavyoishi maisha ya kipekee sio kusikiliza watu
 
NEY anatafuta CHEAP attention!! ukiangalia USA rappers wanapokuwa na beef au kuponda wenzao wanakuwa tayari wana HITS song za kujisifu mfano 50 cent, NAS, DMX,jay z, 2PAC, DRAKE nk.
Sioni hits song alizofanya! NEY za Kujilinganisha na CHID ukiachia mbali na Kutoboa pua kwa CHID!

BASATA naona wapowapo tu! Mbona maslahi ya WASANII hawatetei?! Wasanii wakienda mrama ndo unawasikia.Wangetetea taaluma na MASLAHI pia.
 
Tanzania hakuna mkweli ambaye ana mtetezi..na hiki ndicho nnachokiona jamvini...hv kwa mambo wanayofanya wasanii wetu do u think the guy was wrong?hongera ney hata mkimwita neema maana kwa kiswahili halis kila mtu anaitaj neema

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom