figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Emanuel Elbariki maarufu kama Ney wa Mitego leo jioni atakutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe mjini Dodoma.
Ney wa mitego ambaye amejipatia umaarufu kupitia wimbo wake wa Wapo, amekuja mjini hapa kwa mwaliko wa Dk Mwakyembe.
Dodoma: Waziri wa Habari Dkt Mwakyembe amefanya mazungumzo na Nay wa Mitego. Wajadili masuala ya muziki na jinsi ya kuboresha wimbo wa WAPO.