News. Kuwa na wapenz kunasababisha saratan

cervical cancer ina peaks mbili, at 40yrs and at 60yrs. lakini huchukua miaka 10 mpaka 20 tangu maambukizi ya virusi vya HPV mpaka mtu kupata saratani ya shingo ya kizazi. So saratani ya shingo ya kizazi huja kwa stages kuanzia vile viashiria (pre-malignant stage) mpaka kuja kupata saratani yenyewe.

Siku za hivi karibuni hata wanawake wa miaka 20 - 30 hupata saratani hii, hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na ugonjwa wa ukimwi ambao hushusha kinga na kufanya wale virus wanaosababisha kansa wawe more aggressive na kusababisha saratani mapema.

Screening hufanywa ili kutambua viashiria na kutibiwa kabla havijawa kansa, kuna screening za aina nyingi, ipo hii iliyozoeleka ya pap smear, lakini zipo pia za VIA na VILI, hizi ni rahisi kufanywa na majibu unapata hapo hapo badala ya pap ambayo inakubidi usubiri mpaka kipimo kisomwe na pathologist ndio upewe majibu which takes sometimes.

Screening inaweza kufanywa kwa umri wa kuanzia miaka 25 mpaka 69 kwa sehemu nyingi zenye resources na facilities za kutosha. Huku kwetu huwa screening inafanywa kwa akina mama walio katika risk/ au wale ambao wako kwenye age ambayo kuna chance kubwa ya kukutwa na vile viashiria (pre-cancerous) lesion, ambayo ni age 30, hii ni kwa sababu hatuna resources za kutosha. Hata hivyo hii haimaanishi kwamba mwanamke akiwa ata 25 amekuja kuscreen umkatalie hapana, kwani siku hizi hata saratani yenyew imeshuka ki-umri na kuwapata wanawake wenye umri mdogo zaidi.

Kuna chanjo siku hizi zinazokinga maambukizi ya virusi wa HPV, ziko za aina mbili lakini nadhani kwa Tanzania tunayo Cervirax ambayo hukinga maambukizi ya virusi type 16 na 18 ambao husababisha asilimia 70 ya kansa ya kizazi. Ipo pia chanjo iitway gardasil ambayo hukinga maambukizi ya HPV type 6, 11, 16 na 18. Hawa 6 na 11 husababisha genital warts. Hata hivyo chanjo hizi huwa recommended zitolewe kwa wasichana ambao sio sexually active, na recommended age ni 9 - 15 years. Lakini yeyote anaefikiri kwamba hajaambukizwa hivi virusi anaweza kupewa chanjo hiyo, kama umeshaambukizwa hii chanjo haikusaidii, huzuia maambukizi haitibu maambukizi ambayo yameshatokea.

Smile labda umenipata.

Shukrani Mkuu kwa elimu.
kwa umri wangu wa 40 naenda kucheki
 
duuh k zina majanga hizi? umri gani hizi? na zinasababishwa na nini? dalili? na matibabu yake mkuu? pia madhara yake?
Hizi huanza mapema kidogo kuliko saratani ya shingo ya kizazi ziko common zaidi kati ya miaka 18, 20 mpaka 35,

zinasababishwa pia na virusi wa Human Papilloma virus lakini ni vya aina ya 6 na 11 na vingine ( lakini 6 na 11 husababisha 90% ya hizo genital warts), tofauti na vile aina 16, 18 nk ambavyo husababisha saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer).

Dalili utaona tu vinyama vinaota kwenye genitalia, yaani kwenye vulva mpaka ndani kwenye vagina. Haviumi labda mpaka vipate vidonda kama vimekuwa vikubwa sana.

Matibabu yake ni ya dawa aina ya podophylline kama bado ni vidogo, kama ni vikubwa inabidi vikatwe kwa njia ya cauterization.

Wanaume pia hupata hivi vidude kwenye penis.

Huku niliko vinaitwa visunzua, wangoni watakuwa wamenielewa.

Smile nadhani nimekujibu.
 
Last edited by a moderator:

vikoje hvyo vidude kwenye red?
 
Last edited by a moderator:
Invalid Attachment specified. The
account might have been REMOVED
by Administrators or MERGED into
another account. If you think this is wrong, please notify the administrator
 
Mmmmh hiyo ni hatari so mwanaume yeye hapati?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom