News. Kuwa na wapenz kunasababisha saratan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News. Kuwa na wapenz kunasababisha saratan

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mutahappy, Feb 28, 2013.

 1. m

  mutahappy JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2013
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Umefafanuz umetolewa na wazir wa afya nchin kuwa mwanamke mwenye wapenz a.k.a mabwana weng yupo katika hatar kubwa ya kupata kansa ya mlango wa uzazi.

  Kaz mnaojifanya mkigegendwa na mmoja hamridhik.
  Source.ITV NEWS
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2013
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,972
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  ah wee watu wanatishiwa kifo lakini bado wanagegedana ndio iwe saratani.
   
 3. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 135
  ww bila kugegeda different women maisha hayaendi kwako mmmmh?
   
 4. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 135
  huyo waziri kasomea udaktari au kuna utafiti umefanywa yeye kaleta ripoti,hebu nifafanulie maana makahaba wangekua waathirika no. moja
   
 5. m

  mutahappy JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2013
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  huyu wazir ni daktar professionally .lakin bado alikuwa anafafanua report iliyoletwa na tasisi hisiyo ya kiselikal
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,061
  Trophy Points: 280
 7. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 135
 8. grand-mal

  grand-mal JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 337
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hili ni kweli , saratani ya shingo ya kizani kwa asilimia kubwa husababishwa na vimelea aina ya Human Papilloma virus (HPV zaidi type 16 na 18), hawa virusi wanasambazwa kwa njia ya zinaa. So mwanamke mwenye multiple sexual partners yuko kwenye hatari zaidi ya kupata uambukizo wa hawa virus na hatimae saratani ya shingo ya kizazi.

  Uwe na mpenzi mmoja mwaminifu, tumia condom and acha.

  Asnam, makahaba ni waathirika sana wa hii saratani.

  Epidemiologists working in the early 20th century noted that cervical cancer behaved like a sexually transmitted disease. In summary:
  1. Cervical cancer was common in female sex workers.
  2. It was rare in nuns, except for those who had been sexually active before entering the convent. (Rigoni in 1841)
  3. It was more common in the second wives of men whose first wives had died from cervical cancer
   
 9. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 135
  hapa ndo umeniconvince haya mambo ya kuweka uzi bila kuweka maelezo ya kina ukizingatia ni sayansi we mi sikubali kirahisi.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,482
  Likes Received: 15,730
  Trophy Points: 280
  Mbombo jilipo kyinja iki
   
 12. grand-mal

  grand-mal JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 337
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  cervical cancer ina peaks mbili, at 40yrs and at 60yrs. lakini huchukua miaka 10 mpaka 20 tangu maambukizi ya virusi vya HPV mpaka mtu kupata saratani ya shingo ya kizazi. So saratani ya shingo ya kizazi huja kwa stages kuanzia vile viashiria (pre-malignant stage) mpaka kuja kupata saratani yenyewe.

  Siku za hivi karibuni hata wanawake wa miaka 20 - 30 hupata saratani hii, hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na ugonjwa wa ukimwi ambao hushusha kinga na kufanya wale virus wanaosababisha kansa wawe more aggressive na kusababisha saratani mapema.

  Screening hufanywa ili kutambua viashiria na kutibiwa kabla havijawa kansa, kuna screening za aina nyingi, ipo hii iliyozoeleka ya pap smear, lakini zipo pia za VIA na VILI, hizi ni rahisi kufanywa na majibu unapata hapo hapo badala ya pap ambayo inakubidi usubiri mpaka kipimo kisomwe na pathologist ndio upewe majibu which takes sometimes.

  Screening inaweza kufanywa kwa umri wa kuanzia miaka 25 mpaka 69 kwa sehemu nyingi zenye resources na facilities za kutosha. Huku kwetu huwa screening inafanywa kwa akina mama walio katika risk/ au wale ambao wako kwenye age ambayo kuna chance kubwa ya kukutwa na vile viashiria (pre-cancerous) lesion, ambayo ni age 30, hii ni kwa sababu hatuna resources za kutosha. Hata hivyo hii haimaanishi kwamba mwanamke akiwa ata 25 amekuja kuscreen umkatalie hapana, kwani siku hizi hata saratani yenyew imeshuka ki-umri na kuwapata wanawake wenye umri mdogo zaidi.

  Kuna chanjo siku hizi zinazokinga maambukizi ya virusi wa HPV, ziko za aina mbili lakini nadhani kwa Tanzania tunayo Cervirax ambayo hukinga maambukizi ya virusi type 16 na 18 ambao husababisha asilimia 70 ya kansa ya kizazi. Ipo pia chanjo iitway gardasil ambayo hukinga maambukizi ya HPV type 6, 11, 16 na 18. Hawa 6 na 11 husababisha genital warts. Hata hivyo chanjo hizi huwa recommended zitolewe kwa wasichana ambao sio sexually active, na recommended age ni 9 - 15 years. Lakini yeyote anaefikiri kwamba hajaambukizwa hivi virusi anaweza kupewa chanjo hiyo, kama umeshaambukizwa hii chanjo haikusaidii, huzuia maambukizi haitibu maambukizi ambayo yameshatokea.

  Smile labda umenipata.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  thax mkuu ngoja nikapate chanjo
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  genital warts nayo ni nini mkuu ?
   
 15. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Like like like
   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Thanx mkuu kwa somo. I hope wahusika waliokuwa na sintofahamu wameelewa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2013
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 41,359
  Likes Received: 24,598
  Trophy Points: 280
  duh!!!
  nitakufa soon...
   
 18. grand-mal

  grand-mal JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 337
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna vivimbe au vinyama huwa vinaota sehemu za siri, viko kama vipele au chunusi na huwa vingi vingi huwa vingine kama miba miba hivi, havina maji wala usaha, haviumi na husababishwa na HPV type 6 na 11 kwa 90%.
   
 19. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  tafakari, chukua hatua.
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  duuh k zina majanga hizi? umri gani hizi? na zinasababishwa na nini? dalili? na matibabu yake mkuu? pia madhara yake?
   
Loading...