Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
mtulize vipeperushi vyenu mtatuua jamani!
popote pale mpendwa
popote pale mpendwa
Huwezi kujua kama mumeo ameambukizwa smile, mwambie jamaa awe mwaminifu, na wewe utuliesasa utapimaje kitu ya mwanaume kabla ya kutumia ili kujua kama imebeba kirusi cha cancer au la?
tumevitulizana sisi!Huwezi kujua kama mumeo ameambukizwa smile, mwambie jamaa awe mwaminifu, na wewe utulie
Hongereni sanatumevitulizana sisi!
In academics, wikipedia is not a credible source to cite in defending your argument for or against.
Fahamu hilo. Hata wewe unaweza kuandika kwamba Tanzania imetokana na muungano wa Tanganyika na Zimbabwe na uka-post hapo...kesho mwanao ana-make that reference in defense of his or her argument made