News Alert: Ndoto zingine jamani! Mhmmm!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Waswahili walisema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni na leo kama sio kustaajabu ya Musa basi nimeyashayaona ya firauni. Umeshawahi kuona au kusikia mtu akifanya mapenzi na godoro? Basi kama hujawahi kusikia au kuona ngoja nikusimulie kisa hiki.

Usiku wa kuamkia leo kwenye majira ya saa nane usiku wakati usingizi ukiwa umekolea huku nikiwa naota ndoto ya kufanya mambo yangu ya computer, ghafla nilishitushwa na mtikisiko mzito niliousikia katika kitanda ambacho nilikuwa nimelala mimi na mdogo wangu. Kwa kawaida huwa sina desturi ya kulala na mdogo wangu ila usiku huu ilibidi nilale naye baada ya kupata wageni wengi ambao baadhi ilibidi walale chumbani kwake na yeye kuhamia kwangu.

Basi baada ya kusikia mtikisiko huo niliogopa sana nikidhani mwisho wa dunia ndio umefika. Sasa wakati nikijaribu kuhakikisha kama ninachokiona na kukiwaza nafsini kilikuwa ni kweli au la nilishitushwa na mihangaiko na miguno pembeni ya nilipokuwa nimelala. Nilipogeuka ili kuangalia hiyo sauti ilikuwa inatokea wapi nilishangaa kumuona mdogo wangu akihangaika kufanya mapenzi na godoro akijituma kutafuta bao huku akizugusha kiuno kama injini ya ndege. Baada ya kuona hali hiyo kiasi flani niliogopa na kujikuta nikianza kujihami mapema nisije nikageuzwa mimi godoro maana nimeshazoea kulala bila nguo. basi wakati naendelea kujihami na kutafakari kama alikuwa anaota au ndo style ya kupiga nyeto.

Wakati nikiendelea kutafakari bado sikutaka kupitwa na movie hiyo ya ukweli na ya kihistoria, ili nisiharibu utamu wa movie hiyo ilinibidi nijifanye kama vile nimelala huku nikimchungulia kwa jicho la wizi wizi jinsi jamaa alivyokuwa akijituma kutafuta bao na kulikatikia godoro na mara baada ya dakika 3 jamaa alipiga bao lake na mara baada ya kumaliza alirudi katika hali yake ya kulala kama kawaida ndipo nilipogundua kuwa jamaa alikuwa anaota. Nilishangaa sana maana nilishazoea kuisikia hii kwa watu lakini sikuwaamini lakini leo nimejionea nimeamini. Je wewe umeshawahi kuona hii??
 
vipi chuoni kijana....bado upo mtaani....chuo umekachaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom