News Alert: Ndoto zingine jamani! Mhmmm!!!

Young Master, Naomba huyo mdogo wako awe mgeni wangu mwezi huu, nimevutiwa na jinsi unavyomsifia miuno yake.
Nisingependa kuona utamu unaishia kwenye godoro ambalo halina hisia yoyote.

Ha ha haaa!!! sasa wewe si utaishia kumbaka tu. Kijana mwenyewe bado mdogo.
 
Ndio nalala uchi. ndo nishazoea mkuu. Yaani bila kulala uchi sipati usingizi kabisaaa
Mkuu@Young Master Si vizuri kulala Uchi jaribu kujizoesha kulala na chupi na fulana nyepesi usipende

kulala uchi sio vizuri kabisa. Kuhusu huyo mdogo wako kupiga bao kwenye ndoto inaonyesha huyo mdogo wako ana Jini

Mahaba huyo ndie anaye mfanya apige bao akiwa usingizini pia inaonyesha huyo mdogo wako ndio kazi yake hiyo kufanya

kila siku jaribu kumuuliza . Ikiwa sio kila mara au kila siku basi itakuwa ni jambo la kawaida kupiga bao kwa kila mwezi

japo mara moja usingizini lakini ikiwa kila siku ndio kazi yake kupiga bao usingizini atakuwa analo Jini Mahaba la kike huyo

mdogo wako.
 
We MziziMkavu, ushauri wako muda mwingine ni kama Nguvu za giza, tumia tunguli na usinga basi tujue moja.
 
Last edited by a moderator:

Sasa mkuu kuhusu swala la kumuuliza itakuwa ngumu kwa kweli maana huwa hajijui anapofanya hayo mambo.
 
Mkuu Young Master Kama utashindwa kumuuliza basi pia utashindwa kumusaidia bora uache aendelee hivyo hivyo atashindwa kukaa na mke huyo ndugu yako ana Jini Mwanamke ndio anaye mfanya hivyo wakati anapolala shauri yako wewe na huyo mdogo wako.
 
Last edited by a moderator:
We MziziMkavu, ushauri wako muda mwingine ni kama Nguvu za giza, tumia tunguli na usinga basi tujue moja.
bibie Madame B ulitaka nimpe ushauri gani_ aende Hospitali? kwani hayo ni Maradhi ya kwenda Hospitali? huna neno la kuzungumza wewe . Kuna matatizo mengine hayatibiki Ma-Hospitalini yanatibika kwa Waganga wa kienyeji.
 
Last edited by a moderator:
kweli ni makubwa jamani mm sijaawahi ona wala hadithiwa na hii ndo hadithi ya kwanza kwangu, jamani ni majanga hayo tutaandaa shindano la watunzi wa hadithi na riwaya wa chitchat nadhani wee utachukua nafasi ya 2 kwani yuko kiboko yao hapa kwa mahadithi
Waswahili walisema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni na leo kama sio kustaajabu ya Musa basi nimeyashayaona ya firauni. Umeshawahi kuona au kusikia mtu akifanya mapenzi na godoro? Basi kama hujawahi kusikia au kuona ngoja nikusimulie kisa hiki.

Usiku wa kuamkia leo kwenye majira ya saa nane usiku wakati usingizi ukiwa umekolea huku nikiwa naota ndoto ya kufanya mambo yangu ya computer, ghafla nilishitushwa na mtikisiko mzito niliousikia katika kitanda ambacho nilikuwa nimelala mimi na mdogo wangu. Kwa kawaida huwa sina desturi ya kulala na mdogo wangu ila usiku huu ilibidi nilale naye baada ya kupata wageni wengi ambao baadhi ilibidi walale chumbani kwake na yeye kuhamia kwangu.

Basi baada ya kusikia mtikisiko huo niliogopa sana nikidhani mwisho wa dunia ndio umefika. Sasa wakati nikijaribu kuhakikisha kama ninachokiona na kukiwaza nafsini kilikuwa ni kweli au la nilishitushwa na mihangaiko na miguno pembeni ya nilipokuwa nimelala. Nilipogeuka ili kuangalia hiyo sauti ilikuwa inatokea wapi nilishangaa kumuona mdogo wangu akihangaika kufanya mapenzi na godoro akijituma kutafuta bao huku akizugusha kiuno kama injini ya ndege. Baada ya kuona hali hiyo kiasi flani niliogopa na kujikuta nikianza kujihami mapema nisije nikageuzwa mimi godoro maana nimeshazoea kulala bila nguo. basi wakati naendelea kujihami na kutafakari kama alikuwa anaota au ndo style ya kupiga nyeto.

Wakati nikiendelea kutafakari bado sikutaka kupitwa na movie hiyo ya ukweli na ya kihistoria, ili nisiharibu utamu wa movie hiyo ilinibidi nijifanye kama vile nimelala huku nikimchungulia kwa jicho la wizi wizi jinsi jamaa alivyokuwa akijituma kutafuta bao na kulikatikia godoro na mara baada ya dakika 3 jamaa alipiga bao lake na mara baada ya kumaliza alirudi katika hali yake ya kulala kama kawaida ndipo nilipogundua kuwa jamaa alikuwa anaota. Nilishangaa sana maana nilishazoea kuisikia hii kwa watu lakini sikuwaamini lakini leo nimejionea nimeamini. Je wewe umeshawahi kuona hii??
 
mshauri aende akapime nadhani amethirika kisaikolojia huyo maana
bibie Madame B ulitaka nimpe ushauri gani_ aende Hospitali? kwani hayo ni Maradhi ya kwenda Hospitali? huna neno la kuzungumza wewe . Kuna matatizo mengine hayatibiki Ma-Hospitalini yanatibika kwa Waganga wa kienyeji.
 
kweli ni makubwa jamani mm sijaawahi ona wala hadithiwa na hii ndo hadithi ya kwanza kwangu, jamani ni majanga hayo tutaandaa shindano la watunzi wa hadithi na riwaya wa chitchat nadhani wee utachukua nafasi ya 2 kwani yuko kiboko yao hapa kwa mahadithi

Ha ha haaa!!! Ni nani huyo bibie?
 
Bibie ladyfurahia Hakuna cha kuharibika kisaikolojia hiyo inawatokea wanaume wengi haswa pale wanapo balehe kufikia umri wa miaka 15 na kuendelea ikiwa hawana wapenzi wa kike hospitali hakuna Dawa ya kutibu hayo matatizo.

Huyo jamaa kweli hana demu...Inawezekana ndio tatizo maana huwa anajidai mgumu.
 
Mkuu Young Master Kama utashindwa kumuuliza basi pia utashindwa kumusaidia bora uache aendelee hivyo hivyo atashindwa kukaa na mke huyo ndugu yako ana Jini Mwanamke ndio anaye mfanya hivyo wakati anapolala shauri yako wewe na huyo mdogo wako.

Nilishajaribu kumuuliza mkuu lakini aliishia kubisha kwa kuwa huwa hajijui anapofanya hivyo. Ila pia alinieleza kuwa alishahi kulala na mtu kipindi flani na akamwambia kuwa aliota japo naye alimbishia hivyo hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom