Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu Young Master Huyo mdogo wako hawezi kukaa na Mwanamke atakuwa kila akijaribu kufanya uhusiano wa mapenzi na mwanamke utakuwa unakufa muda mfupi kwa sababu ya hayo matatizo. Mpe ushauri akaombewe kanisani au Msikitini kama wewe ni Muislam hilo ni janga kuu mkuu Young Master. asipoangalia hawezi kuishi na mke utakuja kuniambia siku za mbele. Ana jini jike hilo linamsumbuwa katika usingizini mwake.Nilishajaribu kumuuliza mkuu lakini aliishia kubisha kwa kuwa huwa hajijui anapofanya hivyo. Ila pia alinieleza kuwa alishahi kulala na mtu kipindi flani na akamwambia kuwa aliota japo naye alimbishia hivyo hivyo.