New World Order(NWO); Putin ashadadia Marekani chini ya utawala wa Trump kuitwaa Greenland!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,240
Reaction score
90,298
Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati ya Rwanda, Malawi, Burundi tumchukue kabisa au mkoa au tuimege hata Congo kubwa jinga.
Screenshot_20250329-103401_X.jpg

Screenshot_20250329-103329_X.jpg
 
Hukumuelewa Putin kwa akili yako
Umeamua kukubali akili ya Carl Bildt
Putin anatoa onyo kwamba dunia iwe makini na USA kwenye ishu ya Greenland.Kakumbusha historia kuwa hawakuanza jana kuitaka Greenland.
Akakumbusha kosa walilofanya hadi Alaska ikanunuliwa na Marekani.
Putin haihitaji justification ya Greenland.
Historia inaonesha Marekani aliipora kijeshi mikoa ya Mexico(California,Texas) na kuifanya mikoa yao.
Wameanza tena,wanaitaka Canada,Gaza,Greenland na Panama..
Hawa ni majambazi sugu
Russia anerudisha maeneo yake yaliyoporwa 1991
 
Lugha imekuwa ngumu Sana Kwa mtoa mada
 
Back
Top Bottom