Hata mimi uwa simkubari ila hii track kali inafunika zote zilizotoka kipindi hikiKatika nyimbo zinazotrend sa hv...huu wimbo wa jux ni mkali kuliko zote...bonge la pini...huyu jamaa huwa simkubali ila kwa hii kanifungua macho...tatizo video huwa anabug
Duhh....mkuu una mahaba ya Dhati...nyimbo kali sana!!ni msanii pekee mwenye wa muonekano wa kisanii bongo hii ...and then yuko mbele ya muda akishafanya kitu flan kuhusu muonekano wake na wengine wanafuata...!mnyamwezi toleo la kwanza uyu...
Hujawai kumkubali coz ana melody hiyo hiyo moja nyimbo zote (monotous singer). Binafs simkubali piaSijui kwan sijawahi mkubaligi huyu jamaa
invest what you are willing to lose
Hujawai kumkubali coz ana melody hiyo hiyo moja nyimbo zote (monotous singer). Binafs simkubali pia
KabisaaHujawai kumkubali coz ana melody hiyo hiyo moja nyimbo zote (monotous singer). Binafs simkubali pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawai kumkubali coz ana melody hiyo hiyo moja nyimbo zote (monotous singer). Binafs simkubali pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Muogopeni Mungu....Kabisaa
Umaarufu ndo unambeba ila hana kipaji cha kuimba
invest what you are willing to lose