New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

"There is nothing new under the sun!!", hivyo jambo lolote ambalo linatokea hapa duniani, lilikuwa ndilo litokee!, vivyo hivyo kwa yeyote atakayechaguliwa kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015, then yeye ndiye atakuwa aliyepangiwa!, hata mseme vipi, endeleeni kusema tuu mwisho wa siku, lililopangwa ndilo liwalo!.

"Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!" na kwa wale wanaodhani hilo haliwezekani, "lisilowezekana kwa binaadamu, kwa Mungu, linawezekana!".
Huyu jamaa ni mwamba!, kuna sauti ilisema "Wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!".

Mwenye masikio na asikie!.

Pasco.
 
Like Zuma like Uhuru" hata mumchafue vp He is the next President of Tz its just the matter of time,EL our Presidaa
 
Tulishawaambia E.L. hata CC ya Chama hataingia sasa sijui ugomvi na kubwabwaj kwa nini? akizidi afungue Chama mkajiunge naye km Raila Odinga maana kukata tamaa mtu hataki.
Hii issue ya kuwang"oa meno na kucha nànza kiamini ipo
 
Niko teyari kuichukia na kuiponda Chadema endapo mtaendelea kumponda Lowassa ambae wote tunajua ni msafi isipokuwa utajiri wake ambao haumfikii Uhuru Kenyatta unawauma wajinga wenye fitna

Like Zuma like Uhuru" hata mumchafue vp He is the next President of Tz its just the matter of time,EL our Presidaa

Wanaomwogopa na kumsujudia Lowassa si wenigne isipokuwa wezi wenzake. Na hao wezi hawafiki hata laki moja. Kosa kubwa kuliko yote 2015 ni CCM kumsimamisha Lowassa. Ameshashindwa kabla hata hajaanza.
 
hizi siasa za maji taka mbona zimepitwa na wakati ndugu.

Hii single ya ufisadi wa lowassa imechuja sasa. Kila mwenye akili anajua hii ni siasa chafu dhidi ya nia ya lowassa ya kuwania urais come 2015

mkajipange upya
 
Wanaomwogopa na kumsujudia Lowassa si wenigne isipokuwa wezi wenzake. Na hao wezi hawafiki hata laki moja. Kosa kubwa kuliko yote 2015 ni CCM kumsimamisha Lowassa. Ameshashindwa kabla hata hajaanza.

Na wewe msubiri huyu Slaa wake na labda apate urais wa Parokia fulani, Rais wa Tanzania ni Lowassa
 
Pamoja na weakeness alizonazo ambazo naeza sema ni za kibinadamu bado EL ni perfomer mzuri ukilinganisha na huyu Prezda wa sasa ambaye hana sauti hata ya kumwagiza uwajibikaji kwa mamlaka zake!
EL Juu, Juu zaidi nchi inakusubiri 2015
 
hizi siasa za maji taka mbona zimepitwa na wakati ndugu.

Hii single ya ufisadi wa lowassa imechuja sasa. Kila mwenye akili anajua hii ni siasa chafu dhidi ya nia ya lowassa ya kuwania urais come 2015

mkajipange upya
Naam Mkuu, Mtukufu Rais alitaka kumsaliti Lowassa hapo mwanzo baada tu ya kufikishwa magogoni na Lowassa mwenyewe alipaona patamu mno! Kiasi alidhani ajipange yeye na ukoo tu, ila sasa anamkumbuka mwenziwe na ndie mwenye nguvu na ujasiri wa kuyatatua matatizo yaliyobaki.
 
Naam Mkuu, Mtukufu Rais alitaka kumsaliti Lowassa hapo mwanzo baada tu ya kufikishwa magogoni na Lowassa mwenyewe alipaona patamu mno! Kiasi alidhani ajipange yeye na ukoo tu, ila sasa anamkumbuka mwenziwe na ndie mwenye nguvu na ujasiri wa kuyatatua matatizo yaliyobaki.

Kama sitagombea mimi Uraisi kura nitampa Lowasa iwapo atagombea, asipokuwepo kura nitampa mgombea yeyote atakayekuwa na miaka pungufu ya 50. Naye asipokuwepo basi kwenye Uraisi naweza nisipige kura. Mi sio mnafiki ninamaanisha!
 
Lowasa ni mwizi tu!

Kuna Mtanzania ambae si mwizi? Afadhali huyo ameshashiba wewe angewafikiria wajomba wajukuu vitukuu jamaa na marafiki kwa miaka 30 hata baada ya kuiacha ikulu na bado humfikii alichokuwa nacho Rais Lowassa!
 
lakini pia huwezi kumtenganisha jk na richmond na kama hajui kama alivyosema basi hauwezi hata umonitor wa darasa,
 
Wa Kenya umepita, ni wakati muafaka kufanya preparation hapa Tanzani!
 
Haya tumemaliza Kenya,tumerudi Tz,ndio kwaaanza maandalizi yameanza'
 
Jamani hata akipendekezwa atachagaliwa na wateule wake! yanini muanze kuvuja jasho saahizi??
 
Mgombea wa CCM zamu hii ni kutoka Zanzbar! Amini usiamini! Penda usipende! Pinga usipinge! Wewe subiri tu utaona!
 
Katika nchi hii, hakuna kabisaaa asiyenufaika na siasa kwa hawa wanasiasa wote waliopo, tatizo lao wengi wameeendekeza/ wanaendekeza anasa wengi wameanza siasa siku nyingi lkn ni wavivu, wahuni na watapanya fedha si wabunifu. matokeo yake sasa wamebakia na WIVU NA MAJUNGU kwa wale ambao, walianza pamoja nao au wamewakuta ktk siasa lkn hivi sasa ni matajiri wa kutupwa kama EL , siasa inaweza kukufanya mkulima mkubwa , mfanyabiashara mkubwa ,mfugaji mkubwa na mmiliki wa majengo mkubwa halikadharika mwanasiasa tishio ndio alivyo hivi sasa EL, hakuna siri nyingine iliyomfikisha hapo zaidi ya kujituma kwa wananchi na kwake yy binafsi kwa familia yake. ndo maana yale mambo yoooote aliyoyasimamia kitaifa ikiwemo miradi mikubwa kama huo wa maji kwa niaba ya wananchi ulifanikiwa saaaaana yeyote anaweza kupinga kwamba LOWASSA hakusimamia mradi ule jibu sahihi lipo kwa mh MKAPA , wakati wa uzinduzi wa daraja lile MZEE MKAPA alipotua tu katika mji ule akiwa kwenye helikopta ailiyompeleka swali lake la kwanza aliuliza LOWASSA yuko wapi? na kuibua mayowe ya furaha kwa wananchi wa eneo lile. aliwatimua wawekezaji wa CITY WATER ,wakaenda mahakamani serikali ikashinda si mawazo yake lkn ni kile kitendo chake cha kutumia vzr wasaidizi wake kwa ushauri na maamuzi bora anayoyatoa, ndo maana unaposema eti asipewe sifa ziende kwa wasaidizi wake sasa hapo mpe sifa ya kuwaamini na kuwaongoza vzr wasaidizi wake na kutoa maamuzi sahihi wanapoleta mezani kwake kwa hatua za mwisho.Tujikumbushe pia migogoro na uuzwaji wa maeneo wazi hapa jijini alivyosimamia urejeshwaji wake, pale MNAZI MMOJA na MBELE YA KEMPISK KWENYE FUKWE maeneo hayo yaliporwa na yakarejeshwa ni kazi ya EL, leo hii mama TIBAIJUKA anapata kigugumizi sababu ya kutokuwepo watu kama EL , hilo jengo unalolisema karibu na mess ya polisi kila mfuatiliaji wa ujenzi wa fukwe anajua sakata lake na ni haki au haikuwa haki kujengwa pale na jinsi ilivyogeuzwa ili pajengwe huna budi kumpongeza huyo aliyejitahidi kuzuia kuliko kumsifia aliyejenga kwani msimamo wako ni sawa na wale waliokataa DOWANS isinunuliwe, leo taifa linalia lia kwa madeni. kupata au kutopata nafasi ya kuwa mgombea ni suala jingine kama anania ya kufanya hivyo ni haki yake HOMA ya nini? kwa anayejua atashindwa binafsi namtakia kila la kheri ktk kutimiza malengo yake kisiasa ,kwangu zile sifa za kuwa na mgombea lofa eti ndo uzalendo sizitaki na hazina nafasi kama wewe mwenyewe unashindwa kujitajirisha wewe na familia yako kupitia fursa za kisiasa utawezaji kuondoa umaskini uliotopea kwa wananchi wako ndani ya miaka 10, kama si kuona ukifanya kazi za kukusanya kwa miaka 5, na kujigawia wewe na jamaa zako na viongozi wenzio kile mlichokusanya kwenye ile miaka 5 ya kuondoka madarakani na kufanya mzunguuuuuuko usio na tija kwa wananchi chaguzi kwa chaguzi, kwangu mimi neno la mwisho LOWASSA NJOO ,UMASKINI POTEA.
 
Badala ya kufanya kazi mnafikiria urais. Kwa taarifa yenu kikwete ataendelea kwa awamu zingine
 
CCM ni machizi lakini kumteua LoWaSsa kugombea urais kwa Tiket ya CCM hawawezi fanya hivyo!
Lowassa ndo injinia wa kuivuruga CCM
Lowassa ndo mzee alie zalisha makundi
Lowassa ndo alifanya juu chini kumwaribia PM pinda iliaonekane ovyo
Lowassa ndo mpikaji udini nchini kwa kutumia Dini kuivuruga serikali lakini ndani ya Bunge kimyaaaaaa
Lowassa ndo Mr Dowans aka Richmond maumivu yake tunayabeba mpaka kesho
Lowassa ni silent killer anaeutaka urais kwa cost yoyote But we will be very kin on that

ni kweli lakini watanzani wengi bado ni wajinga hasa wanaokwenda chimwaga kupiga kura ya maoni, akipitishwa tu atashinda tu kwa pesa, kuchakachua au polisi
 
Back
Top Bottom