we all know lowasa ni mwizi. full stop.
nimekuona huna maana baada ya kukutana na huu upuuzi wako. huwezi kusema watu wanampa sija feki kikwete. mtu ambaye ameanzia from the scretch na kusimamia kila alichokianzisha mpaka kufikia hapa tulipo na kuona UDOM ikisimama. kuwa na wazo na utekelezaji ni vitu viwili tofauti kabisa. by the way how many mawazo are out there? hata wewe unaweza kuwa na wazo la kujenga kanisa hapo ulipo, na linabaki kuwa wazo tu na halina garama yoyote zaidi ya kuwaza. hivi unajua hata muasisi wa wazo la serikali ya majimbo ni Idd Simba? NAONA MNAJARIBU KUTWIST KILA ZURI ALILOFANYA KIKWETE. SHAME ON YOU.
we all know lowasa ni mwizi. full stop.
Kama sio Lowassa alieleta maji ya L. Victoria basi na kumbe sio Mwakyiembe anaesafisha Bandari ni moja ya ahadi nyingi tu za Mtukufu Rais Kikwete! Tusiwe pimbi
Niko teyari kuichukia na kuiponda Chadema endapo mtaendelea kumponda Lowassa ambae wote tunajua ni msafi isipokuwa utajiri wake ambao haumfikii Uhuru Kenyatta unawauma wajinga wenye fitna
CCM ni machizi lakini kumteua LoWaSsa kugombea urais kwa Tiket ya CCM hawawezi fanya hivyo!
Lowassa ndo injinia wa kuivuruga CCM
Lowassa ndo mzee alie zalisha makundi
Lowassa ndo alifanya juu chini kumwaribia PM pinda iliaonekane ovyo
Lowassa ndo mpikaji udini nchini kwa kutumia Dini kuivuruga serikali lakini ndani ya Bunge kimyaaaaaa
Lowassa ndo Mr Dowans aka Richmond maumivu yake tunayabeba mpaka kesho
Lowassa ni silent killer anaeutaka urais kwa cost yoyote But we will be very kin on that
mkuu umepatwa na derilium au dementia? Lowasa ni msafi?!?! Kaupata lini huo usafi wakati hata nyerere alijua ni fisadi? Au mnadhani hatujui kwamba alimtuma msaidizi wa nyerere akamwombee kwa mwalimu japo akamsafishe jimboni kwake baada ya kumnyofoa kwenye urais?
mkuu umepatwa na derilium au dementia? Lowasa ni msafi?!?! Kaupata lini huo usafi wakati hata nyerere alijua ni fisadi? Au mnadhani hatujui kwamba alimtuma msaidizi wa nyerere akamwombee kwa mwalimu japo akamsafishe jimboni kwake baada ya kumnyofoa kwenye urais?
Kweli Mkuu RichMund ni JK na rafiki zake na Lowassa aliwahi mhoji JK kwenye kikao cha chama Dodoma kuhusa kutoswa yeye na imekaaje serikali kukaa kimya na kama yeye JK anakumbuka siku alipokuwa nje ya nchi Lowassa alimpigia simu na kumwambia Richmond sio kampuni ya maana ila Rais alimjibu we wacha tuKatika wale maadui wa Joka la Mdimu watakao hamia Kenya, Lowassa anashika namba ngapi? Azimio la Zanzibar iliasisiwa na akina nani? Akili za kubebewa tujaribu kuchanganya na zetu jamani! CCM hakuna msafi hata mmoja...Tofauti ya Lowassa na kundi zima la CCM ni uwezo wake wa kuthubutu plus uwezo wake wa kutoa maamuzi....Pia ameamua kuwekeza ndani ya nchi tofauti na wenzie wanaoweka fedha Uswis...
Kwenye utekelezaji wa ujenzi wa shule za kata nampa five Edo! Kwenye mradi wa maji pia nampa five...wazo bila ya utekelezaji ni upuuzi...Tuhuma zinazoelekezwa kwake ikiwemo kuikodishia ubalozi wa SA kwangu haina mashiko. Ninacho kiona na tafsiri yangu ni kuwa baada ya kuzika rasmi azimio la arusha na kuingia katika ubepari rasmi viongozi wengi walikuwa hawajui namna ya kutumia fursa zilizopo ili kujilimbikizia mali! yeye alikuwa na maono ya ujasiriamali ndo maana wakati alipokuwa ana Jenga wengi walimbeza kwa kumtania kuwa Jumba lote hilo atakaa na misukule!? alipo fanikiwa kuwapangishia SA na kulipwa fedha kibao, kama kawa wabongo wenye wivu wa kike wakajitokeza!
Issue ya Richmond kila mtu anajua kuwa haimuhusu bali ilikuwa ni deal la JK na wanae plus USA...
All in All Edo anawazidi uwezo wenzie ndani ya magamba...yeye ni mchapakazi mtekelezaji...Wasipompitisha CDM itakuwa inakazi rahisi ya kusukuma mlevi alie chakari talalilla hajiwezi...Mark my word.....
Eee bhana eee ! Umekosea sana kuwastua hawa Magamba , ungewaacha waendelee na Mpango wao wa kumsimamisha Lowasa 2015 ili wapigwe knock out ya first second , huyo siyo mchafu tu , bali ni kama mtu anayeishi katikati ya jalala .
Niko teyari kuichukia
na kuiponda Chadema endapo mtaendelea kumponda Lowassa ambae wote
tunajua ni msafi isipokuwa utajiri wake ambao haumfikii Uhuru Kenyatta
unawauma wajinga wenye fitna