donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Aisee Hawa jamaa wametisha Sana, hii flagship inategemea kua released siku ya Muungano mwaka huu. Ni balaa sana....
Samsung Galaxy Fold: The first pictures of Samsung's amazing foldable phone
Sent using Jamii Forums mobile app
'Kamera sita' fafanua sheikh
Hapo ni kabla haijafika TzHuawei nao wamekuja na yao huawei mate X....Bei yake ni kubwa kuliko ya samsung tablet....5.9M .....Ya Samsung ni 4 M
Sent using Samsung Galaxy
Hapo ni kabla haijafika Tz
Si kweli makampuni mengi makubwa yame castomise sana android features nyingi tuu ndio maana kuna huduma zipo kwenye samsung au sony au lg na huawei na hazipo kwenye tecno yenye version hiyo hiyo ya androidnTatizo la hizi android app ni zile zile kama za simu , ni ngumu kukuta app special kwa ajiri ya hizi foldable . Zaidi ya kujikunja hazina cha ziada
Sent from my iPhone using JamiiForums
Itakuwa mil7 na laki kadhaaKwa hiyo na kuigomboa bandarini au eapoti goma linaweza kufika mil kama 9hv au?
ndooo hii bei yake ni mil 6 wakiitoa wanaizika foldable ya samsungWachina walishakuwaga ni foldable phone lakini samsung amekuja kivingine. Huawei nao wanakuja nayo ikiwa na kioo kimoja tu kinachojikunja.
Na samsung kabla hajazindua kifaa cha kujikunja alitoa user interface kabla inaitwa one ui ambayo ina adapt kwenye mazingira hayo.Si kweli makampuni mengi makubwa yame castomise sana android features nyingi tuu ndio maana kuna huduma zipo kwenye samsung au sony au lg na huawei na hazipo kwenye tecno yenye version hiyo hiyo ya androidn