New Release Diamond ft Mr. Flavor

Hahahahaha true true true alikiba mswahili wa mchikichini ataachaje uswahili bhana halafu vidada vya mjini shoooooobooo kwake mwacheni diamond aitwee diamond
 
Ushauri mzuri sana kwake
 
Kiba anatuumiza sana,mfano mwangalia diamond katoa hii video halafu video nyingine ipo njiani ye na inyanya hapo hapo collabo na psquare.
Kiba akitoa audio video mtasubiri mwaka wakati mwenzake karibia kila mwezi anatoa kitu kipya

kwanza moti moti motiii sikikiaaa, mwanzo nashitua kijotii naumiaaaa, moyo wangu tiih tiih tiih unakimbiaaa,,, uoga wa manoti notiii nahofiaaa,,,, Oooooh! usije niacha ka naniii, ntaumia sana,,,, oooh honey utaniumiza na ntachekwa mtaani ntalia mama......
 
Kiba anatuumiza sana,mfano mwangalia diamond katoa hii video halafu video nyingine ipo njiani ye na inyanya hapo hapo collabo na psquare.
Kiba akitoa audio video mtasubiri mwaka wakati mwenzake karibia kila mwezi anatoa kitu kipya

hii ni kwa sababu mpaka leo imekuwa ngumu kwake kutofautisha + na × , anasubiri kipaji na ile sauti inayotokeaga puani kama demu mwenye mafua vimuwakilishe.
 
Hahahahaha true true true alikiba mswahili wa mchikichini ataachaje uswahili bhana halafu vidada vya mjini shoooooobooo kwake mwacheni diamond aitwee diamond

Mashabiki wake siwaoni kwenye huu uzi,chezea PLATNUM wewe!!
 
Wapi UNANITAKA njoo basi na leo uje utoe mipovu katika hili...silence means yes mmeelewa eee kwmba mondi ni habari nyengine!yani apa ndo unapozitofautisha kati ya msalaba na kujumlisha hlf kuna ex na kuzidisha...ni checheeer
 
Uko fasta sana kiongozi kukariri,umetisherrrr!
 
Kama Lonardo.... Samboro sambororooooooooo...........!!!!! kitu haikifuuuuuuuuuuuuuuu
 
Huu uzi haukuwa ukimuhusu Ali Kiba ingawa ametajwa sana humu: ninachoona mm kwa sasa wawili hawa wanatakiwa kushirikiana, watoe wimbo mmoja mzuri ambao utawaweka funs wao pamoja na wao pia watajipatia kipato kizuri tu na kusongesha tasnia mbele na mbele
 
Kiba angepata mashabiki watano kama wewe hakika kungekua na ushindani hasa. Cha ajabu kazungukwa na mashabiki maandazi
kwa hiyo mimi shabiki wa kiba mandazi basi wewe shabiki wa dadamond ni bonge la kitumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…