New Release Diamond ft Mr. Flavor


Hakuna ukweli katika ulilo lisema tena Audio ni kali kuzidi video...mwisho umejiami bila sababu
 
hivi nifah yumo JF leo manaake kimyaaaa...tunakusubiri utupe le comment ! you know we lav it!
na yule beyonce sijui yuko wapi leo
 
kama ni kijana lazima utakuwa Teja la Unga kama ni Mzee ww ni Mchawi tena wa uswahilini kabisa

na usipoangalia kuna siku utakuja mkataa hata mama yako aliekuzaa!

Chuki gani hzo

hahahaaaaah,,
 
ametishaaa jamaa.....sichoki kukisikiliza hki kichupa
 
daaaaaaaaah, hizi nyengine tena ligi platnumz kama umechanjiwa huu mziki!!!!!hujawah kuniangusha dangote bin laden boge ya hit wataelewa tu...coz now mioyo yao tih tih tih inaumiaaa baby yoo....ni shigder. Kama Ronaldo saa twendweeee sankoro sankorooo mmmh mmmh.Thank yu bro I am humbled you know.
 
ndio maana SITAKAA NIJUTIE MILELE KUMPENDA DIAMOND, hajawahi kukosea yaniiii, i was like wooooooowww!!!! Nitakupenda daima almasi wangu, wewe ndio msanii pekee uujazao moyo wangu furaha, linapokuja swala la burudani ya muziki, niende kwa jirani kufata nini kwa mfano??? nyumbani manyama kila siku, am so proud of u boy!
 
hahahahahaaaa my weekend jamani, kila saa naitazama dancing moves, are killing me jamani, mwendo wa kunata na bits, hivi watanzania mnataka nini tena????
 

pole mwaya, si unajua tena watu wenye vibaji vyao, husubiri kipaji kiwafanyie kazi badala ya wao kukifanyia kazi kipaji, lakini sisi waswazi wa tandahimba sijui tandale NGUVU, UBUNIFU, MAARIFA, KUJITUMA, KUJITAMBUA NA NJAA YA MAFANIKIO ndivyo vinavyotuweka mjini.
 

well said....kama RONALDO
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…