binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,370
- 41,733
Hapana sijasema za sasa sio Bora kama za zamani..., sababu hata tampata wapi ya sasa naona ni bora sana.., hata ile Featuring na Hadija imetulia.... POINT yangu ni kuwa huu ni wa Kawaida ukilinganisha na kazi zake nyingine.., kwangu mimi hata ile Number One na promo zote ilikuwa ya kawaida sana...., lakini maybe its just my taste ni vitu vilivyotulia
Kwanza ni nadclare interest mimi ni TeamKiba Damu damu.
Nipo safarini network inasumbua lakini nimejaribu kuipitia kidogo ila kiukwel huu wimbo ni mkali kuanzia Audio mpaka video, lakini ngoja kwanza badae nitaipitia tena vizuri ili nibaini mapungufu yake maana nimeona jamaa kacope script nyingi za wimbo wake wa moyo wangu kitu ambacho kineondoa radha nzima ya hii video yani umewahi kuona video ya Diamond moyo wangu basi ukiona hii utakeleka sana maana ni cppy and paste, pia mr.flavor kambeba sana diamond yani kama bila mr.flavor basi sijui huu wimbo ungeishiwa kuchezwa bar tu na uswahilini.
Lastly, ila haka kajamaa kidogo kanajua mziki japo bado sana kumfikia kingKiba for real, maana kwa mziki huu wa kubebwa na davido mara mr.flavor basi diamond kumfikia kingkiba ni miaka 1000.
#KINGKIBAFOREVER
Aliisemaga wanampa kiki ya kujisukuma pia ila anafanya kazi sana kujinyanyua mwenyewe, bali wivu wa hawa watanzania na chuki zao ni mbaya sana wanatia aibu nchi yetu ni wamezidisha sanaaaaaa
Wasichana na wanawake wengine wa kiTanzania ji janga la taifa kwa jinsi wanavyofanya na maansishi yao maneno machafu hadi kinyaaaaaa esp ukute kwenye post ya msanii anayependwa na watu wengi D, wa nje wanashangaaa hawaamini lakini tatizo umaskini, wivu, chuki duh shame
I think its fine...hatuwezi kulazimisha kila mtu ampende...
Lakini kuna kanuni moja kuwa ukiona huchukiwi na watu una matatizo
Safi sana mkuu!!
Hata mi kupanga natamani hata leo... tatizo mkwanja wa kulipia kodi sina
Kawaida tu hakuna jipya. Ktk nyimbo itakayopotea haraka masikioni ni hii mnayosifia. Mnatakiwa mseme ukweli sio kusifia tu kisa team.
Kwanza ni nadclare interest mimi ni TeamKiba Damu damu.
Nipo safarini network inasumbua lakini nimejaribu kuipitia kidogo ila kiukwel huu wimbo ni mkali kuanzia Audio mpaka video, lakini ngoja kwanza badae nitaipitia tena vizuri ili nibaini mapungufu yake maana nimeona jamaa kacope script nyingi za wimbo wake wa moyo wangu kitu ambacho kineondoa radha nzima ya hii video yani kama mtu umewahi kuona video ya Diamond moyo wangu basi ukiona hii utakeleka sana maana ni cppy and paste, pia mr.flavor kambeba sana diamond yani kama bila mr.flavor basi sijui huu wimbo ungeishiwa kuchezwa bar tu na uswahilini.
Lastly, ila haka kajamaa kidogo kanajua mziki japo bado sana kumfikia kingKiba for real, maana kwa mziki huu wa kubebwa na davido mara mr.flavor basi diamond kumfikia kingkiba ni miaka 1000.
#KINGKIBAFOREVER
mwenzako anasema hivi..
Duh! Yaani idea ikiwa ni ya video za nyuma ndo tayari keshaishiwa?! And what about wanaofanya re-mix za nyimbo zao za zamani au nyimbo za wengine?! Hao unawaitaje??!!! By the way, ikiwa idea aliipenda lakini anafahamu by the time ilitoka kwa mara ya kwanza, alikuwa too local na kwa sasa kv anapata attention mbali zaidi ya East Africa, ameamua ku-revive the very same idea.. tatizo lipo wapi hapo? Haya mambo mbona hata kwenye Films yapo, kwa mfano, Homeland, American TV Series ni Prison of War ya Israel... unataka kusema Howard Gordon and Alex Gansa wameishiwa??!!
Alikiba anatakiwa amshukuru Diamond sana kwa kumrudishA kwenye chart.yaan mwezanko anafanya ubunifu kama huu alafu watu wanakuja kukubeba wewe kwa sababu wanamchukia jamaa
Au kwa lugha nyingine unaweza kusema,"kama huna maadui wengi ujue huna mafanikio"
Lazima watu watage mayaiiii