Mimi nafikiri tuache kuanza kwenda studio sijui kuchana na nini tuendelee na ngoma zetu za MGANDA ndo asili yetuKuimba na kucheza kama wanaigeria ndiyo wanachompendea wanaona kama mnaigeria mwenzao. Kuna rafiki yangu Mghana yeye ndiye jana amenitumia hiyo nyimbo huku akisema hachoki kucheza na kuimba hiyo nyimbo hivyo huko West africa wanamkubadili kwa ubunifu wake wa kuimba kama wao.
Binafsi sina tatizo na mafanikio ya Diamond ila mie kugeza sana kwa kuimba au kucheza kama taifa lengine huwa sipendelei sana.
Mimi nafikiri tuache kuanza kwenda studio sijui kuchana na nini tuendelee na ngoma zetu za MGANDA ndo asili yetu
Mimi nafikiri tuache kuanza kwenda studio sijui kuchana na nini tuendelee na ngoma zetu za MGANDA ndo asili yetu
Great Job. Ila bado kawaida.
Kuimba na kucheza kama wanaigeria ndiyo wanachompendea wanaona kama mnaigeria mwenzao. Kuna rafiki yangu Mghana yeye ndiye jana amenitumia hiyo nyimbo huku akisema hachoki kucheza na kuimba hiyo nyimbo hivyo huko West africa wanamkubadili kwa ubunifu wake wa kuimba kama wao.
Kuna jamaa humu jf alishawahi kuandika uzi unaosema watanzania mnataka mziki gani?maana huwa hatuelewekagi coz mondi huy huy alitoa nyimbo zenye asili ya kitanzania yani vanga(mdogo mdogo)na mduara(nasema nawe)watu wakaponda saaaana mpk kufikia kusema jamaa kaishiwa kaanza kuvamia taarabu,leo kaja na hii tn tunasema unigeria cjui,mradi anaibeba bendera ya tz haijalishi anaimba style gani ni kumsapoti tu...vyenginevo mtuambie mziki wa asili ya kiswahil/tz ni upi au sindimba,marimba,taarabu,mduara,kibati,mbwa kachoka,msewe,kidumbaki au baikoko,maana hatueleweki sasa!
Uhuru wa Afrika Kusini wamuomba Diamond afanye nao Remix ya wimbo wake mpya – Bongo5.comKuimba na kucheza kama wanaigeria ndiyo wanachompendea wanaona kama mnaigeria mwenzao. Kuna rafiki yangu Mghana yeye ndiye jana amenitumia hiyo nyimbo huku akisema hachoki kucheza na kuimba hiyo nyimbo hivyo huko West africa wanamkubadili kwa ubunifu wake wa kuimba kama wao.
Kuna jamaa humu jf alishawahi kuandika uzi unaosema watanzania mnataka mziki gani?maana huwa hatuelewekagi coz mondi huy huy alitoa nyimbo zenye asili ya kitanzania yani vanga(mdogo mdogo)na mduara(nasema nawe)watu wakaponda saaaana mpk kufikia kusema jamaa kaishiwa kaanza kuvamia taarabu,leo kaja na hii tn tunasema unigeria cjui,mradi anaibeba bendera ya tz haijalishi anaimba style gani ni kumsapoti tu...vyenginevo mtuambie mziki wa asili ya kiswahil/tz ni upi au sindimba,marimba,taarabu,mduara,kibati,mbwa kachoka,msewe,kidumbaki au baikoko,maana hatueleweki sasa!
maisha yamebadilika sna we ukitaka kukomaa na staili moja ya mziki unapotea maana hata hao kina joh makini hiphop sio mziki wetu RnB nao sio wetu labda taarab nayo kaimba wamempinga inabidi tukubali maisha yamebadilika ukijifanya mbishi utaachaa mziki kama nikki mbishi watu wanaangalia biashara iko wapi
Safi sana mkuu!!Chige leo nimetimiza ushabiki wa platnum wa damu!nimembamba leo sehemu na zari nikala nao picha kisawasawa!!!!
Nawaurumia sana mashabiki wake jinsi anavyowanyima burudani
Machozi ya furaha yamenilenga lenga. Safi kuona mtanzania mwenzetu akifanya mambo!
Uhuru wa Afrika Kusini wamuomba Diamond afanye nao Remix ya wimbo wake mpya Bongo5.com
maisha yamebadilika sna we ukitaka kukomaa na staili moja ya mziki unapotea maana hata hao kina joh makini hiphop sio mziki wetu RnB nao sio wetu labda taarab nayo kaimba wamempinga inabidi tukubali maisha yamebadilika ukijifanya mbishi utaachaa mziki kama nikki mbishi watu wanaangalia biashara iko wapi
Mkuu kwani muziki wanaoimba wanaigeria sasa ndiyo mziki wao wa asili?
Salute mdogo wangu, hv wapambe wa alikiba, bado mnachakuongea? Alikiba amefanya Kolabo ngapi na naijaguys