New quality catering in Arusha


iddy m juma

iddy m juma

Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
6
Likes
0
Points
0
iddy m juma

iddy m juma

Member
Joined Dec 5, 2013
6 0 0
Ifa International Catering Service Ltd
Ni mojawapo mwa kampuni chipukizi ndani ya jiji la Arusha ambapo imeweza kufanya kazi kubwa za kitaifa na kimataifa . Kama kampuni imeshaweza kufanya kazi katika makampuni makubwa kama vile AICC ( Arusha International Conference Centre) na EAC, kwa masherehe kama Harusi, Kitchen part, sendoff kumunio, ubarikio na nyenginezo binafsi .
Hata hivyo kampuni hii ina wafanyakazi wenye uzoefu wa kuweza kuhudumia kuanzia watu 1-1000 na kuendelea bila shida na kwa wakati husika,
Gharama ni nafuu sana na kwa msimu huu wa sikukuu tumetoa ofa ya punguzo la bei katika utoaji wa huduma zetu jijini Arusha na nje ya jiji la Arusha.
Kwa mawasiliano zaidi
Piga+255755691841,
Ifacatering@live.com

Iddy m juma
C.E.O
Ifa International Catering Service Ltd

Ifa International Catering Service Ltd
 
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Messages
2,423
Likes
72
Points
145
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2008
2,423 72 145
Kwa shughuli ya watu wasiozidi 100 mnatoza kiasi gani? mnatoa ofa ya kinywaji e.g maji ya kunywa?
 
iddy m juma

iddy m juma

Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
6
Likes
0
Points
0
iddy m juma

iddy m juma

Member
Joined Dec 5, 2013
6 0 0
Kwa ofa tunatoa lakini kwa percent fulani kama vile katika mteja atanunua nusu na sie tunatoa nusu halafu kwa upande wa bei gani watu huwa wanachagua menu wapendazo ndio tunaongea bei

Sent by Ifa
 

Forum statistics

Threads 1,252,147
Members 482,015
Posts 29,798,169