New member

New member

hahahaaa!!honey unamtisha
mgeni jamani ila kakusikia
karibu sana Mavotah
 
Last edited by a moderator:
Ingia mpaka ndani

Jiskie uko nyumban sio ujiskie uko fesbuku(jokes)
 
mkuu mimi ni ME,tena rijali haswaa

Hewalaaaa!!!
Sasa tupo ukurasa mmoja, maana pasipo kujitambulisha wengine twatumia simu hatuoni cha avatar wala mjomba wake avatar hatukawii kujichanganya na vitenzi vikurupushi katikati ya maongezi.
 
Mbona umechelewa sana kujiunga? Karibu sana.

wakati ulikuwa haujafika,ila kwa sasa nikaona ndo muda muafaka wa mimi kujumuika na wanamber humu kudadavua mada tofauti tofauti ili kufanikisha maendeleo yetu sote
 
wakati ulikuwa haujafika,ila kwa sasa nikaona ndo muda muafaka wa mimi kujumuika na wanamber humu kudadavua mada tofauti tofauti ili kufanikisha maendeleo yetu sote

ulikua unasubiri nini?
Owkey tuachane na hayo ONYO WAKE WA WATU WATAKUFANYA UKATWE KIFANYIO...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom