New Member

Mr. Wise

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,718
6,441
Brother's and Sister I new here(HOME OF GREAT THINKERS) ...to share things
Thanks.
 
jaman,duu wat mpo makin na michapio ya watu,hyo ni typing error tu....karib mwayaaaa
 
Si ungetumia lugha ya nyerere tu badala ya hiyo ya malikia!
 
tehe...tehe...tehe.... ki inglishi kilikuja na ndege xo tuvumiliane tu,iliwezekana turekebishane co kushushua....
 
Heri yako wewe ni mgeni humu..karibu kiongozi,lakini humu ulipotupia huu uzi ni jukwaa la nafasi za kazi na tenda
jukwaa rasmi la utambulisho linapatikana pia unaweza litafuta ukatupia uzi huu pia...Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom