Welcome welcome welcome wel... What welcome.
Karibu sana mkuu nakupa na offer ya kusoma short hiiEwaaa tena mekuja kusoma story zako zngneile ya #Endless pain ilikua nzur sana hope nitapata zingine
![]()
Duh kumbe ni new ID na sio new member.Ewaaa tena mekuja kusoma story zako zngneile ya #Endless pain ilikua nzur sana hope nitapata zingine
![]()
Okay hebu ni PM picha yako basi nikufahamu.hapana mie nilikua kama guest yaan kuna ile unabrowse jamii forum bila kua na account.. so ndo nkaona nijiunge chief
Prime MinisterNdo nn PM