New member: Ukisoma JF hata thread moja tu utake usitake utajiunga tu!

New member: Ukisoma JF hata thread moja tu utake usitake utajiunga tu!

Platinum kumbe wanalipwa kulingana na likes! ndio maana kila post wapo na comment zao za kiduwanzi utasikia "Asante kwa taarifa" 😀
"Waache na mambo yao"🤣🤣🤣subir tuendelee na mpango wa kukufanya platinum ukashuhudie maana na sis hatuna uhakika
 
Back
Top Bottom