Asante sana mkuuBinti Sayuni03 karibu sana.
Kumbe wageni tupo wengi, safiYou're welcome 🙂
Labda wewe mimi nishakuwa mgeni mwenyejituandaliwe chumba cha wageni au vipi!
😁😁😁🙌 nimeshazoea mazingirahaha ushajitoa kwenye ugeni tena (..."kumbe wageni tupo wengi")
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
itabidi unitembeze tembeze kwenda mbugani huko sasa!
😁😁😁nabadili wapi?
Ata Mimi mgeni humuNdio dada me bado newcomer si unaona nimekuja Jan5 bado mtoto mchanga! 🙂
Na muda simuoni jamaa mpaka nikataka kumwanzishia thread
Jamaa kapotea kabisaa ngoja tumfungulie nyuziii#JusticeforRaraaReree 😀