Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,235
- 2,546
kwa taarifa za waja yupo mwingine ila sina taarifa rasmi!.
Hana mtoto hajawahi kuzaa hapo kabla huyo ndio mtoto wake wa kwanza
Aliyezaa ni dada yake mtoto wa kiume na sahv ni kakubwa hivi, ila huyo dada yake yupo kama tausi isipokua dada ake kamzidi urefu tausi kidogo sana ila wanakaribiana
Dada ake anaitwa tumaini
View attachment 1317520View attachment 1317521View attachment 1317522View attachment 1317520