Anatekeleza Agizo La Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa TanzaniaMbona ana kitambi
Fafanua Kiasi KiongoziHongera yake kwa kujaaliwa mtoto mwingine.
Tumbo Nje Utamaduni Wa WapiKujiwekaje kiongozi tumbo nje au...?
Lakini Wanajitia Aibu Bure Hapo Tunasema Yupo UchiWenyewe wanajiita ni ma-celebrity hao mkuu...!
Nawaangalia Halafu Nasema Hii BhaghoshaaUnachosema ni sahihi kabisa ndio utandawazi huo wanawafundisha na watoto wao wafate nyayo zao mkuu...!
kwa taarifa za waja yupo mwingine ila sina taarifa rasmi!.Fafanua Kiasi Kiongozi
Kwani Huyo Tausi Mdegela Ana Mtoto
Ama Hii Mimba NdiyoYa Kwanza
KENNEDY ni utamaduni wa wapi?Tumbo Nje Utamaduni Wa Wapi
Mbona Angejisitiri Akapiga Picture Tungejua Tu Ana Mimba Tungempongeza
Namna Hiyo Ni Aibu
Elimu Bure😅😄😃🤣😂😁kwa taarifa za waja yupo mwingine ila sina taarifa rasmi!.