New mammy in town...!

New mammy in town...!

Duu...kweli wahuni sio watu wazuri...yani wamempiga miti dada wa watu

Halafu dogo aliyempa kibendi nae keshakuwa superstar na yeye ana-trend tu kwenye mitandao, hiyo ndio bongo mkuu. Hatari sana.
 
Basi op za sikuhizi nzuri maana kuna video inamuonesha baada ya kujifungua kakaa chini kwenye ngazi anachat🤭

Hahahahah wanawake wa zamani wakiamka tu wsnawasha moto ila wa siku hizi wakiamka tu wanawasha data mama.
 
Hahahaha,eti wamempiga miti.
Sometimes wanaume huwa tuna tamaa ya kujua aina tofautitofauti ya K,ndio hicho hutokea na Kuna mwingine anafanya hivyo ili kupata kiki mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila hizi sehemu za huku chini sjui zimeumbwaje aisee, kuna muda huwa napanua mapaja naiangalia K weeee nabaki nacheka tu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom